Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
PENDEKEZO.Kama ruzuku itazuiliwa
1.Wabunge wote na wengine wenye kipato kikubwa ndani ya chadema wakubali kuchangia % fulani kwenye chama
2.Kuanzishwe harambee ya kitaifa na kimataifa kukichangia chama
3.Waliosababisha dhahma hii kwa kujua ama kutokujua wachukuliwe hatua mf.ndani ya chama,CAG ama waziri au katibu wa wizara
4.Kamati PAC ichunguzwe kama nayo imetekeleza majukumu yake pasi na shinikizo mf.je,ni kazi ya bunge kusimamia vyama vya siasa ama serikali? kwa nn wasingemwajibisha CAG au msajili ?