Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

matokeo yasiyo rasmi KATA YA MJINI CCM WAMESHINDA KATA YA MAJENGO CCM WAMESHINDA KATA YA RUVUMA CDM WAMESHINDA KATA YA SEEDFARM CCM WAMESHINDA KATA YA MATARAWE CDM WAMESHINDA KATA YA MISUFINI ISMAILI AZIZI WA CCM KASHINDA
 
Ismail Aziz alikuwa anagombea nini?
 
matokeo yasiyo rasmi KATA YA MJINI CCM WAMESHINDA KATA YA MAJENGO CCM WAMESHINDA KATA YA RUVUMA CDM WAMESHINDA KATA YA SEEDFARM CCM WAMESHINDA KATA YA MATARAWE CDM WAMESHINDA KATA YA MISUFINI ISMAILI AZIZI WA CCM KASHINDA

Kata ya mjini napinga
 
naona wananchi wanashangililiaa huku huku sangaaa..sangaaa..sangaaaa...nahisi ni ccm imechukua kata.
 
Mbinga bado hal n tete pamepoa sana polc na wajeda wapo kla kona haw kesho update mtazpata vzur
 
Hadi sasa matokeo ya ubunge mkoa wa ruvuma ccm imeshinda majimbo yote.
Songea mjini ccm imepata kata 16, CDM 4, CUF 1.
Mtaisoma namba mwaka huu. Na majimbo haya rais magufuli kaongoza majimbo yote kwa kumuacha fisadi Lowassa mbali sana. Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Uchawi hauwezi shinda nguvu za Mungu.
 
nau Niko tunduru kusini,nimeina gari lauchaguzi usiku kama SAA Tisa ya usiki huu sjui lnaenda WAP?ila hakuna hapa ukawa tu kwa sana Mpakate was ccm hapati kitu huku,yaani ni Ukawa tu ya mgombea mwenza sadiki anaenda ikulu,Lowasa mzee was mvi ndo usiseme ,ikulu yake.
 
Last edited by a moderator:
Hadi sasa matokeo ya ubunge mkoa wa ruvuma ccm imeshinda majimbo yote.
Songea mjini ccm imepata kata 16, CDM 4, CUF 1.
Mtaisoma namba mwaka huu. Na majimbo haya rais magufuli kaongoza majimbo yote kwa kumuacha fisadi Lowassa mbali sana. Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Uchawi hauwezi shinda nguvu za Mungu.
Tuwekee ameshinda kwa Kura Kiasi gani? hilo ndiyo suala Muhimu
 
hahaha! ndo maana ruvuma wako nyuma kimaendeleo. hawajiulizi kwann kwenye majiji watu wanatetea mabadilko, aibu yao. uduma za afya zkiendelea kuwa mbovu ruvuma wasilaumu
 
Gama akipita...sitapenda kuitwa tena mwana Songea...

Ndo kashinda sasa, futa uraia wako. Gama kashinda, na mkoa wa ruvuma ccm imeshinda majimbo wote. Udiwani ccm imeshinda viti16, CUF 1, Chadema 4
 
Back
Top Bottom