JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Ruvuma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-
Songea Mjini - Leonidas Tutubert Gama (CCM)
Nyasa: Eng. Stella Martin Manyanya
Tunduru Kaskazini - Ramo Matala Makani (CCM)
Tunduru Kusini - Daimu Iddi Mpakate (CCM)
Peramiho - Ndg Jenista Mhagama (CCM)
Namtumbo -
Madaba - Joseph Kisito Mhagama (CCM)
Mbinga Mjini - Ndg. Sixtus Mapunda (CCM)
Mbinga Vijijini - Martin Msuha (CCM)
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
=========

Jimbo la Songea mjini jumla ya kata zipo 21, upinzani wamepata kata 5 na CCM 16. Kata 5 za upinzani ni Ruvuma - CHADEMA, Matogoro - CUF, Tanga- CHADEMA, Mfaranyaki - CHADEMA na Matarawe. Zifuatazo ni kata 16 za CCM, Bombambili, Msamala, Mjini, Lizaboni, Ruhuwiko, Majengo, Misufini, Mwengemshindo, Ndilimalitembo, Mshangano, Lilambo, Mateka, Mletele, Subira, Seedfarm na Mjimwema