Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,260
Tayari simba kanunua hii. Kwa hiyo simba atapewa point 3 za bure.
Yanga jeTayari simba kanunua hii. Kwa hiyo simba atapewa point 3 za bure.
Kwa nini? Michezo iliyochezwa alama zitabaki kama zilivyoTayari simba kanunua hii. Kwa hiyo simba atapewa point 3 za bure.
Lakini Ruvu shooting si timu ya jeshi? ImeshindwajeBongo nyoso yaani imeshindwa kujiendesha na ni team kongwe si heri wangeiuza Sasa
Simba inayoigopa yanga? HahahaTukumbuke Simba ndiyo iliishusha daraja hii Ruvu Shooting. Yanga na yenyewe wakiendeleza kamdomo, watajikuta huko huko.
Jeshi lenyewe halisi huko kongo DRC limeshuka daraja.Lakini Ruvu shooting si timu ya jeshi? Imeshindwaje
IlishauzwaHi team sio ya Jeshii?