Ruvu Shooting yafungiwa na kushushwa daraja

Ruvu Shooting yafungiwa na kushushwa daraja

Tunaposema kanuni za bodi na TFF ni kwa ajili ya kuzilinda simba na Yanga, tuna maanisha hivi.
 
Haya bwana kule kungine wameshindwa mpaka leo kutoa mamuzi
 
Hi team sio ya Jeshii?
Sio team ya jeshi, hiyo ni Ruvu shooting ya sasa ni Lipuli FC ya zamani. Lipuli waliinunua Ruvu shooting na Lipuli jina likafa na kubaki hiyo Ruvu shooting, ndio maana unaona ina makazi Iringa ilhali jina lake ni Ruvu.

Viongozi walioua Lipuli ndio haohao wanaoiua hiyo Ruvu.. fedha zikichangwa na wananchi wao wanazibunya badala ya kulipa mishahara wachezaji, hawataki timu ipate wadhamini wakubwa kama kina ASAS, IVORY pipi nk ili waendelee kubunya fedha
 
Kama haki ingekuwa inatendeka kwa wote, muda huu kuna timu tangu tarehe 8 Machi 2025, ingekuwa tayari iko ligi daraja la kwanza huko!
 
Tukumbuke Simba ndiyo iliishusha daraja hii Ruvu Shooting. Yanga na yenyewe wakiendeleza kamdomo, watajikuta huko huko.
Simba ili ishusha Ruvu shooting, kwa kuifunga sasa huyu simba aliyefungwa na yanga mala nne mfululizo na ya tano Kala nyoya anawezaje mshusha yanga daraja
 
Back
Top Bottom