Ruth Zaipuna: Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa juu kwenye benki Tanzania

Mwenyekiti wa bodi ya NMB Bank, Dkt. Edwin Mhede, amemteua Ruth Zaipuna kuwa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB kuanzia leo, Agosti 18.

Ruth anakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa katika taasisi za kibenki nchini. Awali Ruth aliikaimu nafasi ya Ukurugenzi Mkuu tangu Oktoba 2019.

Ruth ana Shahada ya kwanza ya Biashara ya Uhasibu na pia ana Masters of Business Administration (MBA) katika Fedha na zote alizipata Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Pia ana CPA (T)

Ruth amewahi kufanya kazi na mashirika mbalimbali ikiwemo Price Waterhouse Coopers Limited (PwC), aliwahi kuwa Mkurungenzi mkuu wa Standard Chartered kabla ya kujiunga NMB Bank

====

View attachment 1540990
Fanya utafiti kidogo wakati mwingine kabla hujaweka bandiko. Tatizo liko kwe ye maneno "... mwanamke wa kawanza...". Hii sio kweli hata kidogo
 
Hamna Hamna kwa mwezi bei gani salary?

Angalizo: Kama hujui jibu utulie. Sio kujidai "wataka ujue ili nini?" Kumbe Na we we unascroll kuchungulia nani atakayenijibu Na wewe ufahamu.
Hint: Rais wa Marekani analipwa $400,000 kwa mwaka.
La ki saba
 
Wenye njaa huwa tunawaza mshahara tu :):)
 
Na pia mshahara huo anaoupata rais wa US kwa mwaka kuna vijana wa pale Ligi kuu ya uingereza wanalipwa kwa wiki,ndio maisha hayo.
Na tupo ambao tukijumlisha pesa zote tulizowahi kupata hatufikishi hio hadi tunakufa!
 
Na pia mshahara huo anaoupata rais wa US kwa mwaka kuna vijana wa pale Ligi kuu ya uingereza wanalipwa kwa wiki,ndio maisha hayo.
Marais wa Marekani huwa ni matajiri hata kabla ya kuupata uraisi. Sio kuwa sheria inakutaka uwe tajiri kabla ya kugombea Bali gharama za mchakato wa uraisi ni kubwa kiasi kwamba mgombea asiye tajiri kuna nafasi kubwa ya kuzishindwa. Imagine $300M
 
Wakurugenzi watendaji wanawake wa benki walikuwepo huyu sio wa kwanza.
Sabetha Mwambenja Exim nadhani kutoka 2001 to 2010,Magrareth Chacha Tanzania Women Bank 2013 to 2016 na Jacquiline Woiso Bank M nadhani 2015 to 2017 au 18. Labda hapa issue ni kuwa CEO wa benki kubwa kuliko zote kwa mali,mikopo,faida etc. Ila hongera zake maana Rabobank wanahisa wakubwa wa nmb always walikuwa wanataka MD awe Mholanzi. Tumuombee afanye kazi nzuri nadhani anaweza.
 
Hamna Hamna kwa mwezi bei gani salary?

Angalizo: Kama hujui jibu utulie. Sio kujidai "wataka ujue ili nini?" Kumbe Na we we unascroll kuchungulia nani atakayenijibu Na wewe ufahamu.
Hint: Rais wa Marekani analipwa $400,000 kwa mwaka.
mkuu mshahara milioni 60 na malupulupu kibao so kwa mwezi hakosi milioni 100 ila matumizi yanakua makubwa so mshahara unakua bado hautoshi manake kama watoto walikua wanasoma feza atataka awapeleke london huko
 
Mr Rrondo,hata ulaya wanawaza mshahara au atakacholipwa. Watu wametoka ligi za Jlaya wameenda China kupata mshahara kubwa
Hao wanaenda China kumalizia mpira yaani kustaafu hakuna mchezaji wa Ulaya kwenye peak atatoka Premier league aende China labda wale wasio na ambition kama akina Gyan.
 
Marais wa Marekani huwa ni matajiri hata kabla ya kuupata uraisi. Sio kuwa sheria inakutaka uwe tajiri kabla ya kugombea Bali gharama za mchakato wa uraisi ni kubwa kiasi kwamba mgombea asiye tajiri kuna nafasi kubwa ya kuzishindwa. Imagine $300M
Duh.....

Kwa hiyo hata Obama Alitoa Mfukoni Mwake?!!
 
Wakurugenzi watendaji wanawake wa benki walikuwepo huyu sio wa kwanza.
Sabetha Mwambenja Exim nadhani kutoka 2001 to 2010,Magrareth Chacha Tanzania Women Bank 2013 to 2016 na Jacquiline Woiso Bank M nadhani 2015 to 2017 au 18. Labda hapa issue ni kuwa CEO wa benki kubwa kuliko zote kwa mali,mikopo,faida etc. Ila hongera zake maana Rabobank wanahisa wakubwa wa nmb always walikuwa wanataka MD awe Mholanzi. Tumuombee afanye kazi nzuri nadhani anaweza.
👍
 
Hao wanaenda China kumalizia mpira yaani kustaafu hakuna mchezaji wa Ulaya kwenye peak atatoka Premier league aende China labda wale wasio na ambition kama akina Gyan.

Ila China Huwa Wanalipa SANA...

Asamoah Gyan naye hakwenda burebure tu....
 
Back
Top Bottom