Lambert Mende
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 210
- 43
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Mkuu mbona sioni majibu ya hoja? Moleli alianza harakati lini? Yani ana nyimwa Rose Mayemba au Wolper anapewa Molel wa naniliuuu? Lini amekitumikia chama kamanda?
Si Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.
Sasa Huwa ANAMLAJE Wakati 24/7 Ana Vibrate Na Ku GEITA?
Hahahahaha du! amakweli ANA MZIMU WA BUNDI WENYE NYOTA YA WACHAWISi Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.
Bavicha fungua uzi uulize utajibiwa huu uzi una wahusu chademaUtaratibu wa viti maalumu wa CCM upoje? Mnaruhusiwa kuhoji?
Hongera sana ukawa nimefurahi kusikia Ruth mollel kapata viti maalum huyo ni mwanamke wa nguvu na msomi hao wanaosema ni bimdogo ni wahuni wa ccm wameanza kuweweseka wanajua ruth kiboko yao. Bado yule mwanasheria na aliekuwa mshauri wa Jk anaitwa mama sinare jamani waleteni wote hao tukiwapata hao bungeni hapatatosha
Akiwa ndani wapi?We unajuaje? Kama alikuwa anakitumikia chama akiwa ndani utasemaje?
Kwa hiyo leo mnakubali JK alikuwa makini? unajua huyu alikuwa chini yake? mmechukua makapi?Hongera sana ukawa nimefurahi kusikia Ruth mollel kapata viti maalum huyo ni mwanamke wa nguvu na msomi hao wanaosema ni bimdogo ni wahuni wa ccm wameanza kuweweseka wanajua ruth kiboko yao. Bado yule mwanasheria na aliekuwa mshauri wa Jk anaitwa mama sinare jamani waleteni wote hao tukiwapata hao bungeni hapatatosha
Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.
Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.
Yaani hii chadema ni full kujuana hivyo viti vyao,,CCM TU NDO KUNA DEMOKRASIA YA KWELI
Hebu tulia uje na majibu ya maswali niliyouliza katika post yangu.
Majukumu yanagawanywa wakati wa mavuno au kupanda?
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Wewe ngoma yako ni nani?