Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Unaweza kuithibitisha mahakama hiki ulichokiandika hapo?

Na Nyie Watu Wa UKAWA Mnaweza Kuthibitisha Yale Madai Yenu Kuwa Kebbys Hotel Ni Ya Hawara Yake Mr. NIMECHUKUA UTAWALA JUZI? Mlianza Kuzusha CDF Kavuta Mwanamume Karudi Bongo Mzima Wa Afya Na Juzi Tena Kama Kawaida Yenu Mkazusha Tena KIPENZI Chetu Mzee Mkapa Kavuta Mwanamume Juzi Akajitokeza Uwanja Wa UHURU Tena Akiwa Kamili GADO Kinoma. Kwahiyo Uzushi Wenu Kwetu Wana CCM Ni Kweli Lakini Mkisemwa Nyie Ni Uwongo?
 
ahaaa chadema hoyeee nyie angalie maisha yenu viti maalumu ni kama urais hauwez kwenda mahakaman
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Wewe ngoma yako ni nani?
 
Pole sana. Hoja yako ilishajibiwa na Humphrey Polepole. Mambo ya uadilifu hayana ushahidi mahakamani

Ukitaka kujua kuwa wewe ni nanga angalia references zako. Hata maneno ya mchumia tumbo Humphrey Polepole unayatumia kama reference katika maishako.
 
Cha muhimu taratibu zilifuatwa? Na kama hazikuatwa ni wapi zilikiukwa?

Tumeona Juliana Shonza kahamia CCM na kuukwaa ubunge wa viti maalum lakini hauwezi kuwalaumu viongozi wa CCM kwa kigezo cha watu kuwa CCM miaka nenda rudi lakini wamekosa.
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Yaani hii chadema ni full kujuana hivyo viti vyao,,CCM TU NDO KUNA DEMOKRASIA YA KWELI
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Utauwaaaaa
 
Sasa Huwa ANAMLAJE Wakati 24/7 Ana Vibrate Na Ku GEITA?

Hapana mkuu umevuka mipaka hata Mimi sikubaliani na mgao wa viti maalumu kwa UKAWA yote lakini tutuoe hoja Si kuhusisha maisha binafsi ya watu na kutoa tuhuma ambazo ni vigumu kuthibisha
 
Cha muhimu taratibu zilifuatwa? Na kama hazikuatwa ni wapi zilikiukwa?

Tumeona Juliana Shonza kahamia CCM na kuukwaa ubunge wa viti maalum lakini hauwezi kuwalaumu viongozi wa CCM kwa kigezo cha watu kuwa CCM miaka nenda rudi lakini wamekosa.
Juliana Shonza aliingia ccm na kuanza kuitumikia kwa kasi pengine kuliko hata wale waliokuweko ccm.

Ikaja uchaguzi wa kupata wabunge wa viti maalum akapita...na kwa hiyo alikuwa akisubiria ushindi wa ccm huko kwao.

sasa tukirudi kwa Ruth Mollel sina details zozote kuhusu yeye kuhamia CDM na kufanya kama aliyoyafanya Shonza kwa ccm.

Kama Ukawa ingeshinda urais pengine tungekuwa tunahisi kuwa amepewa ili kuunda serikali.
 
RUTH MOLLEL BIDUGA
(01-06-1946 to 13-12-2012)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…