Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Zilipelekwa kwa kificho Marekani ikajua kwa kufanya aerial reconnaissance kwa siri, ikawaambia waondoe wakakaza kichwa, ikaandaa kuingia vitani. Ikaanza na kuwapiga Soviets naval blockade wasipeleke meli za kivita Cuba na walitii. Wakaepusha vita wakalimaliza kibabe.
Naona unaacha kwa makusudi kipengele cha kushinikizwa kuyaondoa makombora Uturuki.
 
Zilipelekwa kwa kificho Marekani ikajua kwa kufanya aerial reconnaissance kwa siri, ikawaambia waondoe wakakaza kichwa, ikaandaa kuingia vitani. Ikaanza na kuwapiga Soviets naval blockade wasipeleke meli za kivita Cuba na walitii. Wakaepusha vita wakalimaliza kibabe.
Sasa silaha ziliishafika mpaka zilipotarajiwa kwenda hio blockade ilikua imepigwaje
Maana kwa elimu yangu ya sant kayumba nikwamba blockade inakua kitu kinazuiwa hakifiki kinapotakiwa kwenda
Cuban missile crisis haikua na mbabe wala mjinga ama ilikua na wajinga na wababe
Sababu ussr alitii matakwa ya us na us alitii matakwa ys ussr
Sasa unaposema kinyume chake unashangaza
 
Dunia inahitaji kuwa na super power kama marekani vinginevyo maalkaida na maislamu yenye siasa kali yatachinja watu mno duniani.
Picha yako Xray inaonyesha Papa ameshakuharibu ubongo, ngoja utinduliwe nnya
IMG_20240119_165431.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Oh! Ee Mungu epusha hilo maana dunia italipuka
Yyt anaesema USA ikianza vita ya ndani sisi waafrika na ulimwengu utapata shida lzm atakuwa ni member wa zile ndoa za jinsia moja.
Manake wale hata wakiona mende wanavunja miguu kwa mbio.
Kuvunja biscuit pia wanahitaji msaada.
 
Sasa silaha ziliishafika mpaka zilipotarajiwa kwenda hio blockade ilikua imepigwaje
Maana kwa elimu yangu ya sant kayumba nikwamba blockade inakua kitu kinazuiwa hakifiki kinapotakiwa kwenda
Cuban missile crisis haikua na mbabe wala mjinga ama ilikua na wajinga na wababe
Sababu ussr alitii matakwa ya us na us alitii matakwa ys ussr
Sasa unaposema kinyume chake unashangaza
Hao vibaraka walishaharubiwa kimawazo
 
Back
Top Bottom