Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Warusi wanadai Texas inataka kujitenga, wakati Texas iko inafunga barbed wire kwenye mpaka wake na Mexico kuzuia wahamiaji haramu kuingia Marekani.

Urusi haina uwezo wa kupeleka silaha yoyote Marekani. Kupeleka silaha Cuba ilipigwa naval blockade na hapo ikiwa powerful USSR, sembuse imebaki Urusi hii ya sasa na tena hapo inaendq kugusa ardhi ya Marekani yenyewe.
Kuna timu toka marekani ilienda kucheza mechi ya kirafiki Cuba, hotel waliyofikia kulikua na kitu kirefu Cha chuma wskianikia nguo,lilikua kombora la urusi,rejea mkasa wa 13 days kati ya marekani na Cuba,ili ujue Kama Soviet ilifanikiwa kupeleka silaha Cuba au laa
 
Kwani nani hajui Cuban missile crisis. We unadhani blockade ambayo Marekani iliiwekea USSR pale Cuba ilitokana na nini. Cuba sio Marekani
 
Kwani nani hajui Cuban missile crisis. We unadhani blockade ambayo Marekani iliiwekea USSR pale Cuba ilitokana na nini. Cuba sio Marekani
[emoji845]BREAKING: "If we want peace, where Texas survives as an independent democratic state, the fastest way to get there is lethal aid. Weapons are – in fact – the way to peace."

--Nebenzya
IMG_20240129_103135.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nawewe ulivyo zuzu unakubali kuwa USA anaweza lipua Dunia? Kwahiyo hata akili za kuazima huna?
Yaani wewe ndo lipumbavu kabsaaaa, sikutegemea kama jf kunaweza kuwa member lijinga lijinga hivi. Kwahiyo wewe hapo ulitafsiri ku8lipua dunia kwa mabomu?!!! Bure kabisa (in kalonzo musyoka's voice). Literary language tu pimbi mkubwa we!!!
 
Zungumza hali ya leo, siyo Historia. Ukitaka Historia basin ukubali kuwa Africa, South America na India ni nchi moja!! Governor Abbott mwenyewe alizaliwa Kansas na ana damu ya uhamiaji kutoka Scotland
You're becoming one of those ignorant Americans who don't know shit about their country. Gov. Abbott is a real Texan, born and bread in Wichita Falls, Tx.
 
Back
Top Bottom