Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Msemaji wa Kremlin Maria Zakharova amesema Russia haihusiki na ku supply silaha TEXAS ambayo inataka kujitenga na Shirikisho la USA
IMG_20240128_211345.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hujui historia wewe
Zungumza hali ya leo, siyo Historia. Ukitaka Historia basin ukubali kuwa Africa, South America na India ni nchi moja!! Governor Abbott mwenyewe alizaliwa Kansas na ana damu ya uhamiaji kutoka Scotland
 
Back
Top Bottom