Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

haahaa USSR si waliigawa sasa ni zamu yake wameyatimba naisubiri sana kwa hamu akiondoka yeye na wenzake wamefwata.
Kwanza hakuna waamerika wanaotaka kujitenga mbwembwe za waafrika mitandaoni
 
Kwanza hakuna waamerika wanaotaka kujitenga mbwembwe za waafrika mitandaoni
Wajitenge au wajisenge si inatuhusu nini.?
Bei ya Sukari iko juu . Hata wamarekani wakiungana na mashoga wenzao wote Duniani inatusaidia vipi sisi kupunguziwa bei ya vitu hapa Shinyanga?
 
Warusi wanadai Texas inataka kujitenga, wakati Texas iko inafunga barbed wire kwenye mpaka wake na Mexico kuzuia wahamiaji haramu kuingia Marekani.

Urusi haina uwezo wa kupeleka silaha yoyote Marekani. Kupeleka silaha Cuba ilipigwa naval blockade na hapo ikiwa powerful USSR, sembuse imebaki Urusi hii ya sasa na tena hapo inaendq kugusa ardhi ya Marekani yenyewe.
Kwahio silaha za nyuklia enzi zile hazikufika cuba?
 
Dunia inahitaji kuwa na super power kama marekani vinginevyo maalkaida na maislamu yenye siasa kali yatachinja watu mno duniani.
 
Kwahio silaha za nyuklia enzi zile hazikufika cuba?
Zilipelekwa kwa kificho Marekani ikajua kwa kufanya aerial reconnaissance kwa siri, ikawaambia waondoe wakakaza kichwa, ikaandaa kuingia vitani. Ikaanza na kuwapiga Soviets naval blockade wasipeleke meli za kivita Cuba na walitii. Wakaepusha vita wakalimaliza kibabe.
 
Back
Top Bottom