Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Russia yasema haisambazi silaha TEXAS

Msemaji wa Kremlin Maria Zakharova amesema Russia haihusiki na ku supply silaha TEXAS ambayo inataka kujitenga na Shirikisho la USA View attachment 2886347

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mmmh kaka hukuelewa kauli.
Russia inasema "ni muhimu ifahamike kuwa kusambaza silaha Texas haimaanishi Russia inajihusisha na mgogoro".
Silaha wanasambaza hawa.
 
Zaidi ya hamvee 400, Magari ya deraya 72, mizinga self propelled howitzers na vifaru vya Abrams vimepelekwa TEXAS.

At least 400 Humvees, 72 M2 Bradley infantry fighting vehicles and 48 M109 self-propelled howitzers were sent to #Texas, stream of Abrams tanks is on a move.
It's clear this stuff isn't needed to hold back migrants but can come in handy for a different type of confrontation
IMG_20240128_234908.jpg
IMG_20240128_234508.jpg
IMG_20240128_234505.jpg
IMG_20240128_234500.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hili jambo lipo serious? Niliona juu juu, texas shida yao nini kiasi watake kujitenga.
Isijekuwa propaganda tu
Warusi wanadai Texas inataka kujitenga, wakati Texas iko inafunga barbed wire kwenye mpaka wake na Mexico kuzuia wahamiaji haramu kuingia Marekani.

Urusi haina uwezo wa kupeleka silaha yoyote Marekani. Kupeleka silaha Cuba ilipigwa naval blockade na hapo ikiwa powerful USSR, sembuse imebaki Urusi hii ya sasa na tena hapo inaendq kugusa ardhi ya Marekani yenyewe.
 
maria zakharova ni msemaji wa wizara ya mambo ya nje.
dimitri peskov ndiye msemaji wa ikulu ya kremlin.
Hivyo vyote ulivyotaja ni utambulisho wa Maria Zakharova. Msemaji wa FM au msemaji wa serikali sababu serikali ya Urusi huzungumza masuala ya kimataifa kwa kupitia directorate ya habari na maelezo ya wizara ya Mambo ya Nje ambayo Zakharova ndio mkuu wake. So ana vyeo viwili, na anahusika sana na habari za kimataifa za TASS kwenda Kremlin mouthpieces kama Sputnik, RT na RIA Novosti.

Dmitry Peskov ni msemaji wa Vladimir Putin tu. Kauli yake hutafsiriwa kama kauli ya Putin, sio kauli ya serikali ya Urusi. Mfano Putin anaumwa, mtu wa kutolea maelezo anatarajiwa awe Peskov. Ndio maana Peskov hana formality na professionalism kubwa, wala hatabiriki kwenye kujibu mambo mengine hudai ndio kwanza anayasikia akiulizwa. Ila Zakharova analazimika kujitahidi kujibu kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom