Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Kwa marais wa US, ni yupi asiye memba wa Illuminati? Au unadhani mke wa Clinton sio Illuminati?. Wote hao ni mamemba.
 
Sasa Urusi nae kimeli chake kimoja anataka shindana na mwenye Tatu maeneo hayo
 
Fuatilia World's reaction baada ya US kupiga Syria. Angalia nchi kubwa zimesemaje zikiwemo German, UK,Australia, Turkey, France nk. Zote zinaunga mkono Trump
Hilo sio Tatizo sababu hao lao moja.
Na hawakuanza leo kuunga mkono huwa ujanja wao.

Mwisho wa yote hayo ni kwa Urusi tuu. Na siku Muamerika akizichapa usitegemee kama wataingiza pua zao maana mziki wanaojua wenyewe.
 
Syria lazima itandikwe,wananchi wa syria wamefurahi kwa kuandamana leo kuipongeza USA.source,associate press,AP
 
Hilo sio Tatizo sababu hao lao moja.
Na hawakuanza leo kuunga mkono huwa ujanja wao.

Mwisho wa yote hayo ni kwa Urusi tuu. Na siku Muamerika akizichapa usitegemee kama wataingiza pua zao maana mziki wanaojua wenyewe.
Sawa msemaji wa Kremlin
 
Hicho cheo ulimpa..!?
Acha imani za kichawi kijana Bado mtoto mdogo .....!!
 
Wakuu meli ya kivita ya Urusi inaelekea ktk uwanjani wa mapambano

Source Fox news
Kamebaki kale ka kijana ka Korea Kaskazini Kim Jong Un, Lazima Trump atakashughulikia kasipobadili gia
 
Syria lazima itandikwe,wananchi wa syria wamefurahi kwa kuandamana leo kuipongeza USA.source,associate press,AP
Hata Walibya na Wairak walifanya hivyohivyo ...Leo kipo wapi? Si wanajuta kukubali propaganda za CIA
 
hakuna kiongozi muoga na asiye na mikakati kama Putin. no wonder aliutaka urais tena baada ya kuwa ameachia ngazi.
 
Marekani aache kuonea wanyonge kila siku..kama yeye mwanaume apeleke pua yake North Korea..!
 
That's just a chess game my brother... Unafikiri watatwangana?? Hell no, watarudi kwenye round table na negotiations zitakuwa zile zile. Sanasana atakayeendelea kuumia ni Syria. Just wait and see...

You are truly great thinker....umefanikiwa kuona kile ambacho wengi wameshindwa kukiona.....
 
WWW3 ikitokea mwaka huu itakuws poa sana
unavyo sema utazani ni mechi ya mpira wa miguu kumbuka kuna watu wanalia na kufa wana poteza mali makazi wewe likilia bom la machozi tuu hukai hapa je hilo bom la kuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…