Nenda shule mdogo wangu. Kung'ang'ania uwezo wa akina Gigi Mane, ona sasa unavyoiabisha familia yenu.Kwa hiyo kufika tu nchi fulani wanakukamata na kukufundusha Geopilitics hapohapo?
Bado unarudia yale yale. Je, hupendi shule? Unalitia aibu taifa letu.Kwa hiyo walioenda shule ndiyo wanakua kama wewe?
Je, unataka uwe kama mimi?Nikisha soma ndiyo nakuwa na mitazamo na uelewa kama wewe? Mbona unakwepa kujibu hilo unabaki unaneng'eneka tu!
We zitajeHata nikikutajia hautaelewa. Tafuta kingine cha kubishia
Zungumzia nchi yako we mkimbizi. Tanzania inakuhusu?Vipi nchi yako tozonia
Ndiyo maana uelewa wako ni duni. Sasa uzaji wa ngisi na masuala ya Russia wapi na wapi. Nakusihi hiyo biashara ya ngisi shikilia sana. Achana na mambo haya huyaweziOna sasa, bado unarudia kilekile halafu ndiyo unajitokeza kushawishi tusiosoma twende shule.
Si bora niendelee na biashara yangu ya kuuza vipande vya ngisi na pweza.
Vipi nchi yako tozonia
Mimi huwa nawahurumia watu wanaolemezwa na propaganda za west na hata kutokuwa na independent mind/thinking....yaani ni watumwa wa Kila kitu....ni aibu kwa kweli...na inasikitisha..Ni ngumu sana kuelewa utapeli na unafiki wa nchi za magharibi na marekani hasa kama unashabikia siasa zao. Propaganda zao ni nyingi sana. Siri yao kubwa mara nyingi kuuaminisha ulimwengu kwamba yule ambae hawamtaki basi anakua adui wa dunia nzima. Hakuna jema watalisema kwa adui yao.
Happy New Year na pole kwa msiba mkubwa wa wanajeshi wetu.Wanajeshi '83' tena kwa Serikali ya Kikomunist kukiri si tukio dogo,japo uhakika number itakuwa juu zaidi ya hiyo.Mimi huwa nawahurumia watu wanaolemezwa na propaganda za west na hata kutokuwa na independent mind/thinking....yaani ni watumwa wa Kila kitu....ni aibu kwa kweli...na inasikitisha..
Mkuu kwani kwenda Nchi yeyote inasaidia nini mbona sisi tunaosafiri kila kukicha tunakutana na wasafiri wengine Wajinga tuu tena wengi uelewa wa mtu sio safari wala Elimu pana factors zingine hapo...Tatizo siyo wivu, tatizo ni uwezo wa kuchangia. Unajua uachokiandika kinaakisi uwezo wako wa kufikiri.
Je, tofauti na nchi yako umewahi hata kwenda nchi yoyote?
Kisafiri na kwenda kwenye nchi ni vitu viwili tofauti.Mkuu kwani kwenda Nchi yeyote inasaidia nini mbona sisi tunaosafiri kila kukicha tunakutana na wasafiri wengine Wajinga tuu tena wengi uelewa wa mtu sio safari wala Elimu pana factors zingine hapo...
Sijakurupuka Mkuu usitumie vigezo vya kizembe wewe unaweza ukawa umeanza safari jana wenzio tumeanza safari toka passport za kubandika Picha ila siwezi kumdharau mtu kwa hoja kisa eti ajasafiri kama mimi sio kweli punguzeni ulimbukeni na ushamba safari kitu cha kawaida tuu...Kisafiri na kwenda kwenye nchi ni vitu viwili tofauti.
Umekurupuka kujibu.
Sasa mzee huu unaounesha hapa ni ushamba.Sijakurupuka Mkuu usitumie vigezo vya kizembe wewe unaweza ukawa umeanza safari jana wenzio tumeanza safari toka passport za kubandika Picha ila siwezi kumdharau mtu kwa hoja kisa eti ajasafiri kama mimi sio kweli punguzeni ulimbukeni na ushamba safari kitu cha kawaida tuu...
Mi nafikiri badala ya kulaumu Western Propaganda ungekuja counter propaganda zinazozungumzia kuimarika kwa uchumi wa Russia baada ya kuingia vitani. Halafu utueleze ni theory ipi unayotumia kwamba nchi iko vitani halafu inakuwa kiuchumi. Unajua JF inaweza kukupa PhD!!!Ni ngumu sana kuelewa utapeli na unafiki wa nchi za magharibi na marekani hasa kama unashabikia siasa zao. Propaganda zao ni nyingi sana. Siri yao kubwa mara nyingi kuuaminisha ulimwengu kwamba yule ambae hawamtaki basi anakua adui wa dunia nzima. Hakuna jema watalisema kwa adui yao.