Russia inazama kama Meli ya Titanic

Russia inazama kama Meli ya Titanic

Sasa mzee huu unaounesha hapa ni ushamba.

Nimeuliza swali rahisi. Umewahi kwenda nchi gani? Mbona jibu rahisi tu. Unaanza kuniimbia taarabu sasa.
Jibu swali kwanza ndio tuendelee mjadala.
Nimeenda USA,Hong Kong,China,Singapore,Thailand,Cambodia,Vietnam Mexico,Brazil,Germany, UK na SA nimewahi kutumia permit ya SA na baadae ID yao na Passport yao nikaamua kurudi na kutumia ya Tanzania kwa sababu ya mambo ya uraia pacha kugoma ila kwa sasa nina Permanent resident ya SA...mimi kila mwaka naenda karibu zaidi ya Nchi tano..sio za Afrika
 
Bado hujaenda Iran.
 
Bado hujaenda Iran.
Irani sijawahi kufikiria kwenda na Australia ila North Korea niliishia kwenye mpaka wao na China wale jamaa wakikuona tofauti hawachelewi kusema umetumwa na USA niliwahi kwenda ubalozi wao uliopo Beijing kwa Watanzania wanatoa Visa bila vipengele maana Meli zao pana kipindi zilikua zinasajiliwa Tanzania na kupeperusha Bendera yetu mpaka walipigwa stop miaka ya karibuni..
 
Uturuki, Syria na Russia bado hujafika pia.
 
Halafu unajua kwanini CIS iliundwa?
 
Uturuki, Syria na Russia bado hujafika pia.
Mkuu nimeenda Nchi nyingi ukiandika ndio unanikumbusha maana nilikua nafanya kazi kampuni ya Utafiti wa mafuta baharini na samaki kwa hiyo ilikua inategemeana naenda kusaini wapi kazi au kushukia ila Urusi sijaenda pia...
 
Good. Unajua Geopolitics? Vilevile unajua nchi za CIS zipo kwa lengo gani?
 
Wote wanajionea, wengine hawataki, mapenzi na ushabiki vimewapumbaza kwa ku cloud kabisa akili zao.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba nchi iliyokua Super Power Candidate ijulikanayo kama Russia, sasa hivi imeshaanza kujizamia kidogokidogo kama ilivyokua meli ya Titanic.

Mahusiano yote ya kibiashara ambayo ndiyo yaliyosaidia kumjenga ameshayabomoa. Sasa hivi hafanyi biashara ya kuleta tija kwa ajili yaimarisha taifa lake, bali anafanya biashara ya uchuuzi wa rasilimali za gesi na mafuta ili kusogeza siku.

Uchumi wa Russia unaporomoka kwa kasi sana. Uporomokaji wa uchumi wa Russia umezidi kwa mbaali sana makadilio juu ya ukuaji wake utakavyokuwa kabla hajaanzisha vita. Kuanzia uzalishaji, exports na imports hali ni tete.

Unaweza ukajionea hali ilivyo kwa Russia kwa mujibu wa World Economic Forum www.weforum.org

View attachment 2469633View attachment 2469634View attachment 2469635View attachment 2469636
Unaijua BRICS lakin?
 
Ni ngumu sana kuelewa utapeli na unafiki wa nchi za magharibi na marekani hasa kama unashabikia siasa zao. Propaganda zao ni nyingi sana. Siri yao kubwa mara nyingi kuuaminisha ulimwengu kwamba yule ambae hawamtaki basi anakua adui wa dunia nzima. Hakuna jema watalisema kwa adui yao.
Kweli kabisa wana fitina sana na wanajua kusambaza sumu kwa njia za propaganda
 
Yaani wanaume wote wa US, UK, France, German n.k waweke pumbu zao chini wakijadili namna ya kumshusha kiuchumi Russia, kisha wanatoka na hitimisho, halafu anatokea mtu mmoja anasema wanaume hao wamefeli wamekosea kumwekea vikwazo Russia.

Tukisema CIA, UK, France na German kuna vichwa tuwe tunaelewa, jamaa hawakurupuki hawa. Russia ni kama alichomwa sindano ya sumu kisha akaachwa arudi nyumbani kwake aendlee na kazi zake. Majiran wanamsifu sumu haijamuathiri, sumu imedunda.
Na kukumbusha tu polisi ujeruman inapambana na waandamanaji kisa kupinga kuanza kuchimba makaa ya mawe kama chanzo cha nishati Baada ya gasi ya urusi kukatwa sasa sijiu hapa nani anahali mbaya kiuchumi waliomwekea vikwazo au urusi?
 
Nauliziaga Location ya mtoa mada ila huwa wanapanic ....cjui huyu Kama hato panic
 
Back
Top Bottom