Russia inazama kama Meli ya Titanic

Russia inazama kama Meli ya Titanic

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,787
Reaction score
26,193
Wote wanajionea, wengine hawataki, mapenzi na ushabiki vimewapumbaza kwa ku cloud kabisa akili zao.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba nchi iliyokua Super Power Candidate ijulikanayo kama Russia, sasa hivi imeshaanza kujizamia kidogokidogo kama ilivyokua meli ya Titanic.

Mahusiano yote ya kibiashara ambayo ndiyo yaliyosaidia kumjenga ameshayabomoa. Sasa hivi hafanyi biashara ya kuleta tija kwa ajili yaimarisha taifa lake, bali anafanya biashara ya uchuuzi wa rasilimali za gesi na mafuta ili kusogeza siku.

Uchumi wa Russia unaporomoka kwa kasi sana. Uporomokaji wa uchumi wa Russia umezidi kwa mbaali sana makadilio juu ya ukuaji wake utakavyokuwa kabla hajaanzisha vita. Kuanzia uzalishaji, exports na imports hali ni tete.

Unaweza ukajionea hali ilivyo kwa Russia kwa mujibu wa World Economic Forum www.weforum.org

Screenshot_20230105-120119_Chrome.jpg
Screenshot_20230105-120143_Chrome.jpg
Screenshot_20230105-120203_Chrome.jpg
Screenshot_20230105-120222_Chrome.jpg
 
Ni ngumu sana kuelewa utapeli na unafiki wa nchi za magharibi na marekani hasa kama unashabikia siasa zao. Propaganda zao ni nyingi sana. Siri yao kubwa mara nyingi kuuaminisha ulimwengu kwamba yule ambae hawamtaki basi anakua adui wa dunia nzima. Hakuna jema watalisema kwa adui yao.
 
Yaani wanaume wote wa US, UK, France, German n.k waweke pumbu zao chini wakijadili namna ya kumshusha kiuchumi Russia, kisha wanatoka na hitimisho, halafu anatokea mtu mmoja anasema wanaume hao wamefeli wamekosea kumwekea vikwazo Russia.

Tukisema CIA, UK, France na German kuna vichwa tuwe tunaelewa, jamaa hawakurupuki hawa. Russia ni kama alichomwa sindano ya sumu kisha akaachwa arudi nyumbani kwake aendlee na kazi zake. Majiran wanamsifu sumu haijamuathiri, sumu imedunda.
 
Wote wanajionea, wengine hawataki, mapenzi na ushabiki vimewapumbaza kwa ku cloud kabisa akili zao.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba nchi iliyokua Super Power Candidate ijulikanayo kama Russia, sasa hivi imeshaanza kujizamia kidogokidogo kama ilivyokua meli ya Titanic.

Mahusiano yote ya kibiashara ambayo ndiyo yaliyosaidia kumjenga ameshayabomoa. Sasa hivi hafanyi biashara ya kuleta tija kwa ajili yaimarisha taifa lake, bali anafanya biashara ya uchuuzi wa rasilimali za gesi na mafuta ili kusogeza siku.

Uchumi wa Russia unaporomoka kwa kasi sana. Uporomokaji wa uchumi wa Russia umezidi kwa mbaali sana makadilio juu ya ukuaji wake utakavyokuwa kabla hajaanzisha vita. Kuanzia uzalishaji, exports na imports hali ni tete.

Unaweza ukajionea hali ilivyo kwa Russia kwa mujibu wa World Economic Forum www.weforum.org

View attachment 2469633View attachment 2469634View attachment 2469635View attachment 2469636
Russia ana backup ya China kiuchumi, hata uwekezaji wa Magharibi ulipokoma na makampuni mbalimbali kuondoka, China ilichukua nafasi zao

Lakini sina uhakika hakika huo urafiki wao utadumu kwa muda gani
 
Yaani wanaume wote wa US, UK, France, German n.k waweke pumbu zao chini wakijadili namna ya kumshusha kiuchumi Russia, kisha wanatoka na hitimisho, halafu anatokea mtu mmoja anasema wanaume hao wamefeli wamekosea kumwekea vikwazo Russia.

Tukisema CIA, UK, France na German kuna vichwa tuwe tunaelewa, jamaa hawakurupuki hawa. Russia ni kama alichomwa sindano ya sumu kisha akaachwa arudi nyumbani kwake aendlee na kazi zake. Majiran wanamsifu sumu haijamuathiri, sumu imedunda.
Ulivuta bangi mara ya mwisho lini?
 
Back
Top Bottom