afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,149
- 9,247
Na wasalimu wote.
kwa kifupi hii habari ilitoka muda kidogo kuhusu wachezaji wa Russia kutumia
"performance enhancement drugs" lakini leo taarifa mpya imetoka ya kwamba
wachezaji wote wa Russia "LABDA" hawata ruhusiwa kwenda kwenye Olympic games.
"Banned".
Russia wanasema ya kwamba nchi yao imekuwa ikifuatiliwa kupita kiasi na wachezaji wao
wamekuwa "target".

- Je ni sawa kuwakataza wachezaji wote kutoka Russia kwenda kwenye Olympic?(maana sio wote waliofanya au ku feli "drug test")