Haya mambo ni common katika situation ambazo demand ni kubwa. Hupati kitu bila kutoa kitu. Ni maisha magumu sana kwa wasio na kitu.
Vumilia ndg na endelea kupambana uku ukiomba Mungu akukutanishe na watu sahihi wakusaidie bila kutaraji kitu toka kwako.
Watu wa namna hiyo huwa ni wachache ila wapo na siku ukikutana nao utajua umekutana na malaika. Watakupambania utadhani wewe ni mtoto wao.
Maombi yangu huwa ni juu ya kundi la watu Kama hawa. Hawa watu huwa ni Kama maji jangwani, jua wakati wa bariidi, hewa ndani ya shimo refu.
Watu wema ukisoma comment hii itikia kwa nguvu Amina. Nyie ni my inspiration