Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Mimi naona wangewatoza zaidi maana wamesaidia sana kuharibu uchaguzi uliopita pumbavu sana halafu mtaani wanapiga mizinga utadhani hawana Ajira.
Una ushahidi ya Kuwa Uchaguzi uliharibika? Acha Kuleta Siasa kwenye Kila Jambo.Mahaba ya Chama chako yasikufanye ukawa Mjinga.
 
Wewe

Wewe nadhani umeomba hizi ajira ila kama hujatoa mchongo haulambi ajira
Ukijua anayetoa Ridhiki ni mwenyezi Mungu Basi Mimi Graduate usingenambia hivyo.Maisha yangu anayepanga ni Mungu.Leo kwangu Kesho kwa mwingine.Kwa hiyo Kama nitakuwepoo au sitakuwepo Mungu ndiye anayejua Ila sio mwanadamu kwa Maana Kesho yangu Mimi sijui ni ipi.
 
afike office za takukuru au akifuatwa pm atoe ushirikiano wa kujibu maswali atakayoulizwa(vielelezo+ushahidi)
Hao Takukuru njaa? Hivi hawakuona ule uchaguzi wa ndani ya CCM ulivyoendeshwa? Na huu uchaguzi wa kura feki ulivyoenda na mauwaji na watu kupotea ? Hivi walivaa vitambaa vyeusi machoni ?
 
Kampeni zimeisha na Siasa zimeshamalizika huku Rais akiwa ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli hivyo huu 'Upuuzi' wako hauna Tija kwa sasa pia.

Upuuzi?
We ndio mpuuz, unaye jiita geneus, kumbe takataka...

Nimekuuliza zile ajira za walimu wakati wa kampeni zimeeishia wapi? Au na ww mbulula unaye shabikia UONGO...
 
It simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibaya
Usijali swala lako litafanyiwa kazi na Mamlaka husika,watu wazuri na wanaopenda kusimamia sheria bado wapo wengi tu ndani ya system!!
 
Naogopa kuandika hapa ila kuna mtu namjua alipata kazi kwenye ile ofisi ya kuzuia rushwa kwa kutoa rushwa
 
Ukijua anayetoa Ridhiki ni mwenyezi Mungu Basi Mimi Graduate usingenambia hivyo.Maisha yangu anayepanga ni Mungu.Leo kwangu Kesho kwa mwingine.Kwa hiyo Kama nitakuwepoo au sitakuwepo Mungu ndiye anayejua Ila sio mwanadamu kwa Maana Kesho yangu Mimi sijui ni ipi.
Hapana mimi nimekutaaazalisha tuu kaka
 
Naogopa kuandika hapa ila kuna mtu namjua alipata kazi kwenye ile ofisi ya kuzuia rushwa kwa kutoa rushwa
Huyo Mtu wako kapigwa! Kazi alishapata sema kujipendekeza kwake kufuatilia majibu yake kupitia mlango wa Nyuma, Wajanja nao wakaamua kuvuta Mpunga!!
 
Huyo Mtu wako kapigwa! Kazi alishapata sema kujipendekeza kwake kufuatilia majibu yake kupitia mlango wa Nyuma, Wajanja nao wakaamua kuvuta Mpunga!!
Mimi ndio nimekwambia alipata kazi kwa kuhonga kama wewe unajua tofauti sawa sibishani
 
TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
Hahaha huwa mnaelewaje mkiambiwa hiini serikali ya ccm?!

Tamisemi ni ccm, Polisi ccm, pccb ccm, mahakama ccm, jela ccm na Rais wa JMT ndiye mwenyeketi wao.

Rushwa ni ccm na ccm ni rushwa.
 
Back
Top Bottom