mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Mimi nadhani mtoa mada ungeshauri tu Serikali na Wizara itoe majina ya waliopangwa Vituo vya Kazi kwani deadline ilikuwa 30/9/2020.<Ni Muda Kidogo umepita.TAMISEMI waseme kidogo
Kigogo 'kawaharibu' mno 'Wapuuzi' wengi kama Wewe. Hivi kuna nchi ambayo Idara yake ya Usalama inaweza kuruhusu Wageni kufanya Mauwaji?
Waalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.
Inawezekana mtu au watu wanaofannya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kamouni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na mateam leader wa kila kanda.
Sasa haxo mamba tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.kwa sheria ya jamii forum inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba.
Kampeni zimeisha na Siasa zimeshamalizika huku Rais akiwa ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli hivyo huu 'Upuuzi' wako hauna Tija kwa sasa pia.
Pumbavu.Ni nchi inayoongozwa na Raisi mwizi na muuwaji TANZANIA
Hiyo TAKUKURU YAKE si ianze na yeye kwanza na CCM yake ?? 😛 😛 😛 😛
Huo wizi wa kura TAKUKURU imevaa miwani myeusi, haikuiona yale mauwaji na watu kupigwa na maboksi na mabegi ya kura feki 😛😛😛😛
muda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.
Inawezekana mtu au watu wanaofannya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kamouni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na mateam leader wa kila kanda.
Sasa haxo mamba tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.kwa sheria ya jamii forum inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba.
Pumbavu.
It simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibayamuda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.
usiwe muoga, kama jambo una uhakika nalo toa ushirikiano kwa vyombo husika.
muda siyo mrefu utafuatwa na makachero na uwe tayari kutoa ushahidi.
usiwe muoga, kama jambo una uhakika nalo toa ushirikiano kwa vyombo husika.
Ikumbukwe wanaotozwa pesa hizi hawajaingia kazini sasa tusiwaangushie lawama siasa zilushakwisha sasa tuangalie mustakabali wetuWaalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?
Wewe nadhani umeomba hizi ajira ila kama hujatoa mchongo haulambi ajiraMimi nadhani mtoa mada ungeshauri tu Serikali na Wizara itoe majina ya waliopangwa Vituo vya Kazi kwani deadline ilikuwa 30/9/2020.<Ni Muda Kidogo umepita.TAMISEMI waseme kidogo
basi wewe ni raia mzalendo, nakushauri fika office za takukuru zilizo karibu na weweIt simple kama kusukuma mlevi nna mafaili yao mengi tuu tatizo ni mifumo yetu mibaya
Teh teh unataka wanipe kesibasi wewe ni raia mzalendo, nakushauri fika office za takukuru zilizo karibu na wewe
afike office za takukuru au akifuatwa pm atoe ushirikiano wa kujibu maswali atakayoulizwa(vielelezo+ushahidi)Makachero hawa wenye njaa , akae tayari kutoa chochote
Waafrika wengi hawana tofauti na wanyama. Ulaya ya kale na revolutions zake ilipaswa iwe funzo kubwa sana kwetu juu ya tawala za kistaarabu. Hata Arab spring na ya Sudan ya Bashir bado watu hawajajifunza.Kweli pumbavu, kwani unaona umepewa chochote unafaidika , lakini vitabu viliandika AINGIAYE KWA UPANGA HUTOKA KWA UPANGA
Wakati utasema punde hivi
hapana usalama wa raia ni jukumu la mimi na wewe na wale.Teh teh unataka wanipe kesi
Tatizo mlifikiri majanga yatawahusu wapinzani peke yao, dodoma ni kitovu cha ccm kwanini mfanyiwe hivi?Iku
Ikumbukwe wanaotozwa pesa hizi hawajaingia kazini sasa tusiwaangushie lawama siasa zilushakwisha sasa tuangalie mustakabali wetu
Mimi naona wangewatoza zaidi maana wamesaidia sana kuharibu uchaguzi uliopita pumbavu sana halafu mtaani wanapiga mizinga utadhani hawana Ajira.Waalim hawahawa waliosaidia ccm kushinda kwa wizi wa kura ndio wanatozwa tshs 700,000 mpaka 1,000,000 au wanaotozwa ni walimu wa chadema?
Hahaha Kupata au kukosa ni Mipango ya Mungu.Kila kitu na wakati wake au Zamu yake.Wewe
Wewe nadhani umeomba hizi ajira ila kama hujatoa mchongo haulambi ajira