Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Kivipi? Kwahiyo siku TAKUKURU ukiwapelekea 'Taarifa' muhimu ya 'Rushwa' kama hii yako 'wanakugeuka' na Wewe kuwa 'Mtuhumiwa' wao Mkuu?

Wangalianza hapa kwanza
 
Kivipi? Kwahiyo siku TAKUKURU ukiwapelekea 'Taarifa' muhimu ya 'Rushwa' kama hii yako 'wanakugeuka' na Wewe kuwa 'Mtuhumiwa' wao Mkuu?
We acha tuu ha

We acha tuu haya mambo yana baraka zote kutoka juu kwa sababu najua wanayajua lkn hawataki kuwawajibisha
 
Kuna matapeli pia msipende kuwaonea watu.Ajira au majina Toka muda mrefu mbona yalishafanyiwa kazi tu.Kilichobaki ni kuachiwa tu.Tusichafuane Watanzania.
Nitaweka namba hapa na uthibitisho wa mtu alietoa 1m ili apate kazi na ikimsisitiza usiri na asitoe taarifa kwa watu wasiohusika na pia ikimsititiza atafute wadau wengine waliooma ajira za ualimu. mambo yalisha zagaaa
 
We acha tuu ha

We acha tuu haya mambo yana baraka zote kutoka juu kwa sababu najua wanayajua lkn hawataki kuwawajibisha
Hili la kusema zina 'baraka' ya kutoka juu ndiyo 'umenikwaza' kabisa kwani siamini kama kwa 100% haya 'Matendo' yana 'baraka' kutoka huko juu.
 
Usipende kusikia yanayokupendeza jitahidi kuwa mvumilivu na msikivu kwa yasiyo kufurahisha
 
Ina maana TAKUKURU ( PCCB ) hii ya Brigedia Mbungo imekuwa ya 'Kihuni' na 'hovyo hovyo' hivi? Nitakuwa wa mwisho 'Kuamini' hili Mkuu wangu.

Kwani huyo aliyeiunda yuko vipi ?? asingaliuwa watu na kukodisha majeshi Burundi ili kujiweka madarakani, sasa kama hiyo Takukuru yake inafanya kazi ki kweli ingalimuanza yeye na CCM yake
 
Nitaweka namba hapa na uthibitisho wa mtu alietoa 1m ili apate kazi na ikimsisitiza usiri na asitoe taarifa kwa watu wasiohusika na pia ikimsititiza atafute wadau wengine waliooma ajira za ualimu. mambo yalisha zagaaa
Usiweke no ya mtu hadharani kwa kivuli cha JF.Fahamu ya Kuwa Kuna matapeli Mkuu.Kama wewe unaweza kuwa msuluhishi wa hilo jambo fanya mawasiliano na huyo mtu kwa Kuwa unauelewa Basi ulimalize hilo jambo kwa kukemea Rushwa.
 
Mambo mengi muda mchache, usimfanye mkuu wa idara atumbuliwe bc
 
Kwani huyo aliyeiunda yuko vipi ?? asingaliuwa watu na kukodisha majeshi Burundi ili kujiweka madarakani, sasa kama hiyo Takukuru yake inafanya kazi ki kweli ingalimuanza yeye na CCM yake
Kigogo 'kawaharibu' mno 'Wapuuzi' wengi kama Wewe. Hivi kuna nchi ambayo Idara yake ya Usalama inaweza kuruhusu Wageni kufanya Mauwaji?
 
Mi
Usiweke no ya mtu hadharani kwa kivuli cha JF.Fahamu ya Kuwa Kuna matapeli Mkuu.Kama wewe unaweza kuwa msuluhishi wa hilo jambo fanya mawasiliano na huyo mtu kwa Kuwa unauelewa Basi ulimalize hilo jambo kwa kukemea Rushwa.

Usiweke no ya mtu hadharani kwa kivuli cha JF.Fahamu ya Kuwa Kuna matapeli Mkuu.Kama wewe unaweza kuwa msuluhishi wa hilo jambo fanya mawasiliano na huyo mtu kwa Kuwa unauelewa Basi ulimalize hilo jambo kwa kukemea Rushwa.
Mimi siwezi kuweka namba zao hapa hadharani lakini nikilazimishwa nitaweka namba za madalalai wao na wanaotuma namiamala inavyofanyika
 
Hili la kusema zina 'baraka' ya kutoka juu ndiyo 'umenikwaza' kabisa kwani siamini kama kwa 100% haya 'Matendo' yana 'baraka' kutoka huko juu.

Jiulize wafanyakazi hewa walitolewa ktk mfumo wa paylor, pamoja na wenye vyeti feki na wale walio ishia kidato Cha 4... Lkn hakuna ajira zilizotangazwa...

Wakati wa kampeni zilihaidiwa ajira za gafla za walimu zimeishia wapi?
 
Kampeni zimeisha na Siasa zimeshamalizika huku Rais akiwa ni Dk. John Pombe Joseph Magufuli hivyo huu 'Upuuzi' wako hauna Tija kwa sasa pia.
 
Back
Top Bottom