Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

Kwa watu wa kaskazini ya Tanzania kuwa na uraia wa Kenya na Tanzania ni jambo la kawaida. Hakuna kesi hapo. tupilia mbali madai, mradi hana Uraia wa US hakuna tatizo. Nyerere mwenyewe alisafiri na pasi ipi kwenda nayo masomoni GB? na lini alikana huo uraia?
 
huu ni mgogoro wa kimaslahi uliojionyesha tangu kuanza kwa mchakato wa kumtafuta mtu wa o,suala la kuwa wapo walio mtaka na waliompinga ndio wanaotufanya tufahamu zambi za hiki chama walizozoea kuzifanya na naamini wanaompinga sioi hawatafanikiwa na hii ni kutokana na kuzidiwa nguvu na upande unaomuunga mkono sioi,na ningependa kama hizi tuhuma ni za kweli ni bora kila aliyehusika kumpitisha kuwajibika japo huo utamaduni hatuna coz itakuwa ni aibu isiyoweza kufichika,ni suala la mda tu watazidi kuumbuana
 
Kwa watu wa kaskazini ya Tanzania kuwa na uraia wa Kenya na Tanzania ni jambo la kawaida. Hakuna kesi hapo. tupilia mbali madai, mradi hana Uraia wa US hakuna tatizo. Nyerere mwenyewe alisafiri na pasi ipi kwenda nayo masomoni GB? na lini alikana huo uraia?

Wacha urongo wewe...
Hatuna sheria inayoruhusu uraia wa nchi mbili, hiyo kaskazini ya Tanzania unayoisema wewe itakuwa ni sayari nyengine, sio hii tuliyopo.

Nyerere alisafiria passport ya GB kwa mujibu wa sheria iliyokuwepo wakati ule. Sasa huyu mtoto mnalazimisha kuvunja sheria ili agombee kwakuwa ameoa kwa laigwanani mkuu au kuna kingine?
 
CCM mercenary politician:
rage
kinana
rostam
and bunch of them are there...
Huyo mwenye nyekundi ndo hasa wanyamwezi wameniacha hoi, wanyamwezi ninawaamini wana akili ndo kumchagua takataka huyo awaongoze, ivi Tabora mjini nzima wanyamwezi hakuna?
 
Sasa kama magamba nao si mambumambu, wooooooote mpaka wakamkubalia Asiyeoa agombeee, hawakuwa na upeo wa kuuona utata wa uraia?? ama kweli sikuo la kufa halisikii dawa.
Kuna Wimbo mmoja wa Bahati Bukuku, dini zote wanakubaliana na maneno haya , nanukuu ( MWANADAMU AKIKUWEKA JUU NI LAZIMA UTASHUKA TUU, MUNGU AKIKUWEKA JUU NI LAZIMA UTAKUWA JUU, LA MWANADAMU LITAKUFA NA LA MUNGU HAKIKA LITADUMU...)nunueni cd msikie...Hapa wanadamu bwana watakulazimishiaaaaaaa, hata ukipitishwa kwa mzaha maadamu ni wanadamu wamekuweka juu kama Mzee wao m.k.w.e.r.ee..ni lazima uongozi wako utasukwasukwa na mambo mabaya maana si mapenzi ya Mungu.
Mungu simama angalia Taifa lako Linaangamia
 
Serikali itahamia Arumeru yote na hapo bado kampeni hazijaanza rasmi tayari Igp mtetezi wa CCM ameshatinga Arumeru hiki nikiashirio cha ccm kuwa na hali mbaya kamwe hawatashinda kiti hiki.
 
Kwa watu wa kaskazini ya Tanzania kuwa na uraia wa Kenya na Tanzania ni jambo la kawaida. Hakuna kesi hapo. tupilia mbali madai, mradi hana Uraia wa US hakuna tatizo. Nyerere mwenyewe alisafiri na pasi ipi kwenda nayo masomoni GB? na lini alikana huo uraia?

Mkuu Nyerere alitumia passport ya nchi gani? niko kizani kidogo. Kuna tofauti gani kuwa na uraia wa Tanzana na Kenya, na kuwa na uraia wa Tanzania na Marekani?
 
mi nshaanza kucheza sebene hapa..samaki ana vipande vingapi..!!!?? vitatu, hebu vitaje!!??.... kichwa,kiuno na mkia...na mkiaa eehh..chezesha mkiaaa...*30. safi sana CHADEMA. Mwanzo mzuri kuelekea 2015.
 
Mkuu Nyerere alitumia passport ya nchi gani? niko kizani kidogo. Kuna tofauti gani kuwa na uraia wa Tanzana na Kenya, na kuwa na uraia wa Tanzania na Marekani?

Kuna baadhi ya sehemu za Kenya na Tanzania zilikuwa ni sehemu za Wamasai zikijulikana kama Masai Land na mipaka ilikuja kuwekwa na Wajerumani. US na Tanzania hatuna hata mpaka, au tunao?

Nyerere alitumia Pass Port ya Aden.
 
Hii ni shida nyingine ya kugangamalia jambo bila kufikiria madhara yake. Si kila saa Nape ni Mropokaji wakati mwingine huwa mkweli asilimia mia moja. Oneni sasa.
Nape ni kichwa sana tatizo lake ni moja ni kutokuwa na msimamo unaoeleweka
 
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.
 
Nimeshindwa kuelewa kuwa unazungumzia ushindi upi,Arumeru sio arusha?

Mtangoja sana.watu wameshakombolewa kifikra.mean usitegemee mtu makini kupigia kura Ccm
 
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.

yaani leo ccm mnaishauri chadema iache kutafuta ushindi wa mezani wakati nyie ndio mabingwa wa kutafuta ushindi wa mezani hii ni ajabu!
 
Mwikulu njomba umechanganyikiwa,nimesema ivi itikadi inakufanya akili yako ionekane unatembea uchi ktk soko la jumamosi la tengeru,mwigulu kizazi hiki ni ngumu kutushikia chini,CCM HOI.nipo Usa river nimepiga kambi
 
There are currently 266 users browsing this thread. (61 members and 205 guests)
 
Kwa watu wa kaskazini ya Tanzania kuwa na uraia wa Kenya na Tanzania ni jambo la kawaida. Hakuna kesi hapo. tupilia mbali madai, mradi hana Uraia wa US hakuna tatizo. Nyerere mwenyewe alisafiri na pasi ipi kwenda nayo masomoni GB? na lini alikana huo uraia?
umelewa piwa au?
 
W Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana

Hivi utakwepa vipi kuwa raia kama una cheti halali kinachoonyesha umezaliwa sehemu husika?Kwa maelezo ya MB Mwigulu nathibitisha kuwa madai ya CHADEMA ni halali kabisa!

Mwigulu hivi ukiwa na cheti cha kuzaliwa TZ si ndiyo uraia wa TZ ina maana unao au?
 
Back
Top Bottom