TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,103
- 12,745
Kuna mtu aliwahi kushauri kuwa nguo za maaskari zisiwe na mifuko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mwenge junction kuna traffic MTU mzima mchaga anakula kula rushwa balaa pesa anapokea kijana mmoja pale anazuga kupark bajaji ila habebi abiria nilimkuta anapiga hesabu hizo pesa huwezi amini.Nenda pale Makumbusho barabara ya kuingilia daladala kutokea Posta, rushwa wazi wazi na haitokaa uamini. Umewahi kuona traffick ana kidaftari anapiga mahesabu ? Nenda hapo ujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta na ww kazi....hiyo rushwa hela ya supuHabari ya saizi Wakuu,
Leo nimeshuhudia njia mpya ya upokeaji rushwa kwa Trafki maeneo ya pale Goldstar ambapo ujenzi wa SGR unaendelea.
Wakati nimefika pale kituoni asubuhi ya saa 1 nikiwa nasubiri daladala za kwenda Gongo la Mboto nilikuta kituo kina raia mmoja tu ambae nae anaonekana sio mtu ambae anasubiri gari. Upande wa pili (kama mita 3 hivi) kulikuwa na trafiki anaongoza magari.
Sasa katika muda niliokaa pale nikawa nashangaa huyu jamaa ambae nimemkuta kituoni anapokea hela kwa kila daladala inayopita, yaani daladala zote zinazotokea Mnazi Mmoja lazima zipitie kituoni hapo halafu wanampa hela huyo jamaa kwa njia fulani hivi ya kisiri siri then daladala linaondoka.
Nikasema ebu ngoja nitulie kidogo nione kwanini wanampa hela. Baada ya muda nikaona anapokea simu, katika kuchunguza nikagundua kuwa alikuwa anaongea na Trafiki yule ambae yuko upande wa pili (nahisi hapa kuna ishara alimpa) maana gari iliyofuata haikutoa hela nikagundua kuwa trafiki yule anakula rushwa lakini mpokeaji ni huyo kijana aliyekuwa kituoni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari ya saizi Wakuu,

we kibokowanaudhi sana ndugu yangu alaf hawana aibu, kuna siku pia gari ilikuwa inanisumbua busta zinajijaza za diff sasa wakati nashuka sekenke chuma ikawa inapiga mateke yaan nashuka huku natumia break za trela sasa pale wanataka upande na 30 ama ushuke na 30 mm gashuka huku naona mwenzangu aliyenipita nikiwa misigir pale kishachochora, bas nikashuka hivyo hivyo mungu nisaidie mpaka nikaumaliza mlima nikapaki nikamwaga upepo chuma ikatembea ila nikajua tuu kwa harakat zile nikifika shelui lazma kuna tochi, kweli nafika pale nawaona walee kamoja kanatoka chini ya mti kanajivuta road nilikuwa umbali kama wa mita 150 hiv ama mia 200 nikapaki pembani, nikashuka na jamvi langu nikatandika chini ya trela nikalala yaani nikasema hapa stoi gari mpaka wasepe hiyo tochi watachunga nayo mi sina haraka ka jamaa kamekaa pale mpaka mwisho wanaondoka wakaja niambia mzee tumekubali show yako na mm nikawaambia pesa inataftwa wazee.nyie nendeni na mimi niendelee na safari siwapi hata mia..lakin nilikaa pale masaa ma4.