residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,307
- 15,127
Mkuu hii si Jangwani,tuwe wakweli.Mbona huko mbali jangwani jana.
Hapo NI barabara ya Rami na Ile ya mwendo Kasi.
ILE FLYING OVER YA TAZARA BORA WANGEJENGA JANGWANIView attachment 1623991View attachment 1623993View attachment 1623994View attachment 1623998
Mkuu hii si Jangwani,tuwe wakweli.
Mkuu hii si Jangwani,tuwe wakweli.
Yaani hii inatokea bwana awezaye yote mfanya yote kuliko wote akiwa kalala au!?Hauoni magorofa ya muhimbili Yale?
Jangwani sipajui,najua palipokuwa na daraja la KAJIMA, kwa Hussein Macheni na pale palikuwa panafanyika mikutano ya "The Big November Crusade" na "Dar Back to GOD". Pia pale paliwahi kuwa makazi ya magari ya mizigo napajua.[emoji44][emoji44][emoji44].
Jangwani unapajua kweli?.
Yaani hii inatokea bwana awezaye yote mfanya yote kuliko wote akiwa kalala au!?
Mkuu hii si Jangwani,tuwe wakweli.
Mimi nakataa mkuu,awamu ya 5 imefanya miujiza mikubwa nchini chini ya jemedari mwenyewe.Hapo ni jangwani na sasa wanazoa tope mwendokasi ndo zinapita mimi navizia kambale
Utawapata kweli hapo? wenzio wanawadaka juu kwa juuHapo ni jangwani na sasa wanazoa tope mwendokasi ndo zinapita mimi navizia kambale
wewe ndie ulipaswa kuandika umetulia..umeandika kama unakimbizwa!!
Nimejuta kufungua huu uzi
Daah mkuu Mungu asikie kilio chako pamoja na kuhani mkuu KAYAFA
Acheni wivu nyie chandimu, tunafanya kazi tunasubiri 2025 tufanye tathmini!
Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike.
Magu and CCM ikiwa Chama dola hata miaka 1000 unafikiri ni msiba kwangu au kwa hao unaodhani wanaumia Sana? I bet umaskini ba ufukara umeharibu sana mfumo wako wa fikra na maisha kwa ujumla.
Nipo ulaya mwaka wa 25 sasa na nilikuja as a top diplomat na nikafanya kazi kwenye high reputable international organization wala hizo kauli zako za kimaskini eti sijui mtalia CCM Chama dola hazinihusu. Kwahiyo wewe unaetambia wenzio uchama dola huli vumbi hapo bongo?
Wasted sperm!!
Wewe Jamaa ni Mshamba ( Mbwiga ) sijapata kuona. Kuna Mtu amekuuliza unafanya Kazi gani au uliwahi kufanya Kazi gani? Huku 'Kujimwambafai' Kwako hapa kunaweza kutupa 'Hisia' kuwa huenda ukawa siyo Mwanaume 'Riziki' kabisa kwani 'Majisifu' haya tumeyazoea kutoka kwa Dada zetu ( nikimaanisha Wanawake )Tutapiga kelele na kina nani? Kwahiyo hiyo lugha ya picha na hayo mazingira ambayo mleta mada amejaribu ku portray wewe yamekuridhisha? Ni vizuri sometimes kuficha upumbavu na udumavu wa akili ili ustirike.
Magu and CCM ikiwa Chama dola hata miaka 1000 unafikiri ni msiba kwangu au kwa hao unaodhani wanaumia Sana? I bet umaskini ba ufukara umeharibu sana mfumo wako wa fikra na maisha kwa ujumla.
Nipo ulaya mwaka wa 25 sasa na nilikuja as a top diplomat na nikafanya kazi kwenye high reputable international organization wala hizo kauli zako za kimaskini eti sijui mtalia CCM Chama dola hazinihusu. Kwahiyo wewe unaetambia wenzio uchama dola huli vumbi hapo bongo?
Wasted sperm!!
Teh teh teh!! Kwahiyo Akitawala milele unahisi mimi napungukiwa nini? Nimekuuliza simple question vipi wewe huogi vumbi na tope huko ushenzini bongo?Wewe Jamaa ni Mshamba ( Mbwiga ) sijapata kuona. Kuna Mtu amekuuliza unafanya Kazi gani au uliwahi kufanya Kazi gani? Huku 'Kujimwambafai' Kwako hapa kunaweza kutupa 'Hisia' kuwa huenda ukawa siyo Mwanaume 'Riziki' kabisa kwani 'Majisifu' haya tumeyazoea kutoka kwa Dada zetu ( nikimaanisha Wanawake )
Kuhusu Umasikini wala hujakosea na ni kweli GENTAMYCINE nina Umasikini mkubwa kuliko unavyodhani ila kitu pekee tu ambacho nakishukuru ni kwamba nina 'Shani' na 'Talanta' ya Kipekee ambayo Mwenyezi Mungu ametupa Wachache wetu mno na kwamba pamoja na 'Kujisifu / Kujimwambafai' Kwako kote sijui unakaa Ulaya ( Mamtoni ) huna na kamwe hutokuja kuwa nayo.
Wakati Wewe ukiuendeleza 'Utambaliziwaji' wako 'uliotukuka' huko Ulaya / Marekani kwa 'Wazungu' Mimi GENTAMYCINE nipo Dar es Salaa hii hii na Tanzania ambayo ipo chini ya 'Jemedari' na 'Mwamba' ambaye ni 'Kiboko' ya 'Wapumbavu' na 'Wanafiki' kama Wewe pamoja na Wote waliokupa 'Likes' kwa ulichokiandika aitwae Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Na CCM itatawala Tanzania hadi muamue 'Kujinyonga' kabisa.
Eti umefanya Kazi sijui katika reputable international organization. Umeulizwa? Kuna Mijitu hapa ni 'Mipumbavu' na 'Mishamba' sijapata kuona. Na wengi wenu wenye 'Umasikini' wa 'Kifikra' huwa mnapenda sana 'Kujionyesha' hapa JamiiForums kuwa mna Maisha Mazuri wakati huenda hata 'Kiuhalisia' tu mkawa hampo Ulaya na mpo zenu huko Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba mnalima 'Mbaazi' na 'Mmechoka' kweli kweli.Teh teh teh!! Kwahiyo Akitawala milele unahisi mimi napungukiwa nini? Nimekuuliza simple question vipi wewe huogi vumbi na tope huko ushenzini bongo?
Unaonekana dhahiri kupitia comments zako ni mtoto wa kipumbavu sana! Utakua mtoto wa zinaa wewe ndo maana huna akili.
Mtapiga sana Kelele huku mkiendeleza Majungu yenu ya Kipumbavu na Kishamba ila CCM ndiyo Chama Dola na Dk. Magufuli ndiyo Rais halali pia.
Naona imekugusa sana! Hiyo ni kukuonesha tu kuwa hata huyo mshamba mwenzio atawale milele mi hainigusi kwa chochote!! Nipo mbali hata Mkapa hajaingia ikulu sembuse huyo?Eti umefanya Kazi sijui katika reputable international organization. Umeulizwa? Kuna Mijitu hapa ni 'Mipumbavu' na 'Mishamba' sijapata kuona. Na wengi wenu wenye 'Umasikini' wa 'Kifikra' huwa mnapenda sana 'Kujionyesha' hapa JamiiForums kuwa mna Maisha Mazuri wakati huenda hata 'Kiuhalisia' tu mkawa hampo Ulaya na mpo zenu huko Kyaka Nkunde au Ikupilipa Nkoba mnalima 'Mbaazi' na 'Mmechoka' kweli kweli.
Sasa kama Wewe kweli unajiamini una Maisha Mazuri na sijui upo Ulaya katika Kampuni Kubwa Wewe hapa Jina lako ili tujiridhishe nawe na Uumbuke.Kuhusu Mimi kuwa na 'Comments' za 'Kipumbavu' yawezekana ukawa hujakosea ila unachonionyesha nawe huenda ukawa ni 'Senior' Kwangu 'Kiupumbavu' ni kwamba bado nawe 'unazisoma' vile vile. Umezaliwa na 'Ukoma' wa Akili na ndiyo maana huna Akili na ni 'Juha' hivi.
Natamani mno Siku moja hizi ID's zetu zigeuke ghafla za zitaje Majina yetu halali ili tujue Wauza Mkaa Bigwa ni akina nani na Washua kweli ni nani.Naona imekugusa sana! Hiyo ni kukuonesha tu kuwa hata huyo mshamba mwenzio atawale milele mi hainigusi kwa chochote!! Nipo mbali hata Mkapa hajaingia ikulu sembuse huyo?
Haha, we ndo unaonekana HAYAWANI hapa maana kila mwenye akili atajiuliza ubovu wa barabara hapo Rusahunga jibu lake linahusianaje na mtu kutawala milele?
Bwanamdogo mi si sehemu ya fukara wenzako mliokulia kwenye madagaa kauzu na mnaoishi kwenye dimbwi la mavi mvua zikinyesha!
Pole sana kama imekuuma kunywa panadol upooze maumivu.
Nikutajie na ninacholipwa kabisa?
Wasted sperm!!