Rupia: Hazina ya Mjerumani

Barjun

JF-Expert Member
Mar 28, 2019
204
250
Si rahisi kupiga picha kaka
Acha utapeli
pole mdogo wangu hiyo siyo picha ni video na nikusaidie pia huwa zinachukuliwa video bila Flash light...Pole sana kwa elimu ndogo juu ya haya.
Karibu sana ujifunze
 

Barjun

JF-Expert Member
Mar 28, 2019
204
250
Maroa Dave,,,, jitahidi sana kupunguza kukaa vijiweni na kuulizia elimu ya haya utakwama sana sana,,,ungeuliza kwa kidogo ningekusaidia kukufafanulia.
 

Maroa Dave

New Member
May 2, 2021
3
20
Kuna tajiri mkubwa wa mabasi tanga nisingependa kumtaja alivuma sana miaka hiyo route ya Dar Tanga alitokea kwa njia hiyo.
Alikua akiishi kijijini kwetu uswekeni kabisa akiwa kapigika unaweza sema ni mwarabu mzigua kwani alikua akila hadi hombo. Basi akatokea kijana mmoja ambaye alifiwa na baba yake. Lakini mzee huyo kabla ya kufariki alimwambia mwanaye kua alihifadhi mali chini ya mti wa msufi (kipindi hicho ulikua mti mkubwa sana.
Basi yule kijana akaenda moja kwa moja kwa yule mwarabu na kumpatia mchongo huo akiwaacha wazee wa asili ya pale kijijini akiwamo babu yangu ambaye alikua na nguvu sana hapo kijijini. (Alifanya hivyo labda kwa kuhofia kudhulumiwa).
Basi yule mwarabu akachukua mali zile akaenda mpaka nairobi kuziuza inasemekana zilikua nyingi sana hivyo kwa dar miaka hiyo asingepata mteja wa kuaminika.
Mwarabu akatoka kimaisha akahama kutoka kijijini akahamia Tanga mjini akafungua kampuni la mabasi lilitamba sana miaka hiyo kisha akamtia uchizi yule kijana ili asimfwatilie akawa anaishia kuchunga ngimbe za mwarabu huku maudenda yakimtoka.
Mwarabu pia akawa anajenga misikiti na kutoa misaada kama kujisafisha na hayo mambo.
Kweli Maisha hayako fea kabisa umdhaniaye ndiye aweza kua siye.
KENYA kuna soko kubwa sana la hii biashara
Lakini kupata muuzaji halisi ndio balaa
Kumejaa matapeli
 

funluverx

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
463
500
i was once involved with wht i kol "rupia and mercury corn artists.

....... kwnz rupia yenyewe niliifata hko Lushoto Milimani mwaka 2009 na huyo babu alikua anataka 15m in exchange ya hyo rupia......

tatzo ilikua sio pesa koz aliejiita mteja alitoa dau la 400m, ila hayo masharti tuliopewa ndio kiboko halaf hayaishi.

mara uchinje ng'ombe wa matambiko, mara ukachome mishumaa 52 baharini, mara usisafiri jumanne ..........etc

inshort am dealin with gems for a livin lakini we don't have any rituals........ nw y rupia?

i stand strong to tell all jf members nt to engage in dis staff........ unaeza geuka mganga at the end of the day
NI shida
 

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
604
1,000
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
 

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
604
1,000
kinachokupa ushahidi wa kusema hapo kuna mzigo wa maana ni nini?
Yupo mzee aliniambia kua Kuna mzigo wa kutosha lkn hawawezi kuutoa anasema wapo wataalam wanaotoa bila kuchimba kwasababu kuna joka kubwa
 

Barjun

JF-Expert Member
Mar 28, 2019
204
250
Yupo mzee aliniambia kua Kuna mzigo wa kutosha lkn hawawezi kuutoa anasema wapo wataalam wanaotoa bila kuchimba kwasababu kuna joka kubwa
mmmhhh kama ni kwenye mashamba ya mkonge sikatai lakini kama ni underground inawezekana kuwa ulishatolewa ....na kama unataka kuwa na uwakika na kazi husika make sure anayekupa taarifa basi amefika eneo hilo si zaidi ya siku 30 tokea leo na pia lazima akwambie ni hali gani amekutananayo eneo la tukio....
kila site ya mjerumani ina utoaji tofauti na nyingine ....haikuwahi kutokea na haitokaa itokee kuwa ilivyotolewa ike basi bi sawa na hii...

kwa ushauri wangu kwako hakikisha umejiridhisha kabla ya kutafuta mtendaji makin.
 

code4494

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
493
1,000
Kanisa la mbozi mission na hospital yake
3.Sehem nyingine ni lilipokuwa soko kuu la mbeya pale mbele ya benki ya NMB mbalizi road ambalo liliungua na linatarajiwa kujengwa soon,guess mkandarasi aliyeshinda tenda ya kujenga pale ni kutoka inchi gani? Makampuni makubwa ma5 yaliomba ,moja la israeli,jingine la austaria,jingine la ujerumani na mengine ya wachina! Wajeruman wameshinda tenda wataanza ujenzi any time baada ya bunge hili la bajeti i guess.
3.Sehem nyingine utashangaa pale wajerumani walipokwenda kujenga matenki makubwa ya mradi wa maji ambao wameudhamini wenyewe kwa karibu 90% na waliutoa maalumu kwa mkoa wa mbeya tu! Ambao hauna shida sana ya maji ukilinganisha na mikoa ya kati na kusini mwa tz! Mradi huo utamaliza tatizo la maji mby kwa miaka 20! Ijayo imean hadi 2032! PALE UYOLE WALIPOJENGA HAYO MATENKI YAO YA MAJI PALIKUWA NA MASANDUKU YAO!
MRADI HUU AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA JK KAUZINDUA WIKI HII HII KAMA SIKOSEI!
Awamu ya pili ya huu mradi ni kupeleka bomba la maji hadi tunduma umbali wa km 103! Ili wapitie na sehem zingine !
4. LAKE NGOSI TUKUYU MBY!
Zipo sehem kibao nikianza kuwatajia hapa sitazimaliza so tukirudi kwenye mada nikwamba kweli rupia ya mjerumani inamambo tatizo ni namna ya kuipata coz sehem zote ilizofichwa wajerumani walikuwa wanafanya makafara ya watu kuanzia 10 na kuendelea ambao hubaki hapo kama majini kulinda ila wao wanavyokuwa wanakuja kuchukua huwa kuna maneno flani huyatamka na hayo madudu hutambua mwenye mali kaja either mtoto au mjukuu wake! So huwa hayasumbua tofaut na mswahl ukienda pale na hii ki2 ikapelekea wengi kwenda kwa waganga ambako hupewa masharti ya kutafuta viungo vya binadamu hasa albino!
Nadhan mkuu umenielewa kama unamaswali zaidi ni pm namba yako ntakujuza zaid
source: mimi mwenyewe ninafanya kazi za uchimbaji madini hasa dhahabu nipo matundas chunya na pia ni graduate ktk fani ya mining enggrng UDSM
Vp mkandarasi wa kijerumani alifanikiwa kujenga?
 

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
604
1,000
Maneno ya Kwanza ya kutamka unapofika sehem yenye rupia
Hodi hodi hodi sisi ni maskini nyie ni wafalme tumekuja kuwahamisha mrudi nyumbani hapa ni utumwani
 

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
6,793
2,000
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
mzee sio chai hii?
 

Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
11,542
2,000
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
Haya mambo yapo ila Kuwapata hao wataalamu ndiyo kazi lakini kuwa makini na matapeli aisee
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,372
2,000
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
Nipo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom