Katika hali isiyo ya kawaida mazungumzo yalikuwa hivi:
Bwana nimekuita ili nikujulishe ufanye mpango wa kugombea udiwani nimeuliza inaonekana unakubalika.
Hapana sijawa na mpango wa kujitokeza katika ngazi yoyote.
Lakini bwana weka nia una kitu fulani cha ziada.
Baada ya hapo kumekuwepo na simu nyingi kuja kwa mke wangu. Sijui anataka amtumie kuniua asubiri atakayepewa bendera ya UKAWA ndo huyo wote tutampamba maua hadi kieleweke!
Unaweza niponya na lolote unaloliona ili nisimtimue huyu mke! siko tayari kuishi na mke anayenipa mashaka hasa katika harakati hizi muhimu za kuwang'oa mafedhuli bin mafisadi.