Rungu kubwa siliwezi jamani

Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.

Mkuu kama unaweza kuniPM kwa kila lililo jema katika kukamilisha mchakato huu utakuwa umenisaidia sana, japo hata kwa kunipa references itakuwa nzuri pia. Be blessed Sir


ni kweli mkuu,hata mm nahitaji kupata mawili matatu katika hili,kwani niko kwenye mchakato huohuo,
 
ni kweli mkuu,hata mm nahitaji kupata mawili matatu katika hili,kwani niko kwenye mchakato huohuo,

Sawa kabisa, Mungu mwanzilishi wa ndoa akuwezeshe kukurudishia ubavu wako aliouchukua na kuupa pumzi ya uhai! Ubarikiwe na BWANA Yesu Kristo!
 
kuna wakati nilisikia kama rungu ni kubwa saana linaweza likavalishwa pete, wakubwa hayo ni kweli?


na mm nilisikia hivyo hivyo,ni kweli tuambieni wadau kama mnafahamu kuhusu hili,huyu jamaa aende akavae pete kwenye mtalimbo wake kwa size ya huyo mkewe,lol
 
Wenzie wanazitafuta yeye anazikimbia ?!? Basi acha wenye meno watafune, ni mambo ya kujinafasi haya mwaya, lol !!
 
ha ha ha ha ha ha
Nicheke mie maisha yenyewe haya ya kibongo

Ndio maanake.

Unajua mithread kama hii imejaa humu jamvini, yaani saa hivi about 90% ni upupu kwa kwenda mbele wa akina Pape na Mzizipori na wenzi wao. Sasa kwa mtaji huu sidhani kama unaweza ukamrekomend mtu na hishma zake ajiunge JF..never.
 
usiwashe taa kama unaogopa sana we isikilizie gizani,,,lakini mengine ukiyaona live walahi unasikia haja kubwa na ukichelewa sana inageuka mwarisho hapo hapo live...pole weye
mvumilivu hula mbifu
 
ni kweli mkuu,hata mm nahitaji kupata mawili matatu katika hili,kwani niko kwenye mchakato huohuo,
Mkuu itabidi tushauriane san kwenye hili. Lakini pia kumtumia watu wenye busara kama Buchanan ni uamuzi mzuri pia. Kumpata mke wa ubavu wako ni kazi nzito sana mkuu ucpime
 
Ndio maanake.

Unajua mithread kama hii imejaa humu jamvini, yaani saa hivi about 90% ni upupu kwa kwenda mbele wa akina Pape na Mzizipori na wenzi wao. Sasa kwa mtaji huu sidhani kama unaweza ukamrekomend mtu na hishma zake ajiunge JF..never.
I do support you Abdu
 
Huyu jamaa mjinga, alitakiwa kwanza kumuhandaa, sio kumpalamia, hakuna **** ndogo inayoshindwa kuhimili uume wowote, kinachotakiwa ni maandalizi kwanza,
 
Katika ahadi za ndoa ni kwamba mtavumiliana kwa shida na raha hii big rungu haiwezi kuwekwa kwenye kundi hili la shida na raha? Lakini kwenye soko huria mambo ni mengi kinamama wengine watafuta hii kitu hawajapata! Itabidi hapa bwana mkubwa ajipange upya, angekuwa ameonja kabla yote haya yasingewakuta.

Kwanza si ajabu kuna wengine anawatamanisha humu!lol! ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
usiwashe taa kama unaogopa sana we isikilizie gizani,,,lakini mengine ukiyaona live walahi unasikia haja kubwa na ukichelewa sana inageuka mwarisho hapo hapo live...pole weye
mvumilivu hula mbifu

We una kila sifa ya kuitwa mke bora!!!
 
We una kila sifa ya kuitwa mke bora!!!

Inawezekana ikawa dawa but kula raha na taa inawaka inachangia kuleta chachandu katika majambos au nakosea waungwana kuna mapigo lazima muungwana upate kuona maumbile uhamasike!!!!
 
kuna jirani yetu mmoja hapo mtaani mambo yalipomzidi alimnadia mume wake, mwiziiiii mwiziiiii, wasamaria wema tulipofika mama katokea mlango wa nyuma sku ya pili kajitangazia kwenye matangazo ya kifo kumbe yupo hai.
bora kabinti alivyorudi kwao kabla njemba haijaleta demeji kwenye intanashinali eapoti.

klorokwini inatosha sana nacheka peke yangu kama mwendawazimu inakuwaje mke kumwita mumewe mwizi mwizi kwa sababu ya Rungu kubwa unaniumiza Mkuu klorokwini punguza uongo wako Mzee klorokwini hiyo ni hatari sana nacheka mpaka nalia kama mwendawazimu kwakwakwaaaaa tehetehetehhhhhh
 
Je kwani huyo jamaa amebeba la inchi ngapi ili wale kina mama shujaa wamvae huko huko. Awape na simu yake huenda wakapiga foleni ................................????????????????>>>>>>####^%&^!&(*^(
 
Does this mean kutest kabla ya kusema i do ni muhimu ili kuepusha aibu za aina hii?

Ndio maana yake. Yale mambo ya kusubiri mpaka siku ya ndoa matokeo yake ndio hayo sasa! Na huyo bora kakuta rungu kubwa, kuna wengine huwa wanakumbana na mwanaume ana ''kibamia''. Akikohoa tu wakati wa tendo la ndoa kinatoka nje! Pheeeew!

Kutesti muhimu wapwa!
 
hata mie namsupport huyu badala ya kupeana raha inakuwa karaha
nenda kwenu mama

lakini jamani hakuna style mbadala za kumsaidia huyu??
Hakuna kukimbia hapa,si alitaka chai,mbona analalamika anaungua?Mashine isipofanya kazi mnakimbia ikifanya kazi yake mnakimbia,ikiwa ndogo hakiwatoshi kubwa milalamo,tengenezeni zenu sasa,ukiipenda asali penda na nyuki wake!!
 
Back
Top Bottom