Rungu kubwa siliwezi jamani

hata mie namsupport huyu badala ya kupeana raha inakuwa karaha
nenda kwenu mama

lakini jamani hakuna style mbadala za kumsaidia huyu??

Katika ahadi za ndoa ni kwamba mtavumiliana kwa shida na raha hii big rungu haiwezi kuwekwa kwenye kundi hili la shida na raha? Lakini kwenye soko huria mambo ni mengi kinamama wengine watafuta hii kitu hawajapata! Itabidi hapa bwana mkubwa ajipange upya, angekuwa ameonja kabla yote haya yasingewakuta.
 
Kweli hao watu hawatosheki...
Kakiwa kadogo anadai kanamtia shombo...
Na likwa kubwa atapita anatangaza kote mpk JF...

Hiyo sisi haituhusi.
Ni bora tu uvumilie coz wanasema mazoea hujenga tabia, so utazoea 2
 
Hivi ndio mie nawapenda wazungu kila mshubweko ulikwa kama vile mkonga wa tembo ndio hataki muwe mbali ,nawapendea kwa hilo, Dada zetu wakiona zahamatu karadi wanatowa vijisababu sijuwi nina nini hino leo maratumbo linaniuma akipata upenyu humuoni tena ndio imetoka hiyo, adha tupu.hata ukiomba upeleke helment tu pia inakuwa kishindo na mbinde hapo.na ndio maana sina bahati nao wasichana wetu wa kibongo.
 
Kisayansi size ya uume wa mwanaume haimati kwa mwanamke either size 14-9-5-3 mara nyingi uke wa mwanamke huwa unatanuka kutegemeana na urefu wa uume wa mwanaume.

Huyu mwanamke nadhani kuna athari za kisaikologia amezipata. Mwanamke kabla hujamuingilia anahitaji maandalizi ya hali ya juu. Nayo ni kumfurahisha akacheka, kumgusa mahali anapojisikia furaha, chumvini na mwishoe mpambano wenyewe. But tatizo letu watu wengine wanajua kuepeleka mashine tu sasa inawezekana mwanamke hakuwa amejiandaa kisaikolojia kukutana na mwanamme na matokeo amepata maumivu makubwa yaliyoathiri hadi akili yake.

Mara nyingi kitu kama hichi kinahitaji ushauri tu na mafunzo kwa bwana mkubwa kwani kuna wanaume wengine huwekaga wanted kwenye ndoa wanaenda kanisani au misikitini wakiwa na wanted kwamba mwanamke huyu atanitambua kumbe anajikomoa mwenyewe.
 
Does this mean kutest kabla ya kusema i do ni muhimu ili kuepusha aibu za aina hii?

Sio kutest jamani, ni kufanya zinaa! Mbona mnapenda kuremba maovu kiasi hicho? Tatizo kubwa la watu ni kutokumshirikisha mwanzilishi wa ndoa kabla ya hiyo ndoa, matokeo yake utajitwalia kiatu cha kubana na hapo ndipo unapomkumbuka Mungu! Isn't it too late to catch a train? Atamkimbia huyo mwenye mguu wa mtoto kisha atampata ambaye jogoo hawiki kabisa! Mungu mwenye huruma, tusamehe maovu yetu, tusije tukaaibika milele!
 
Mkuu Buchanan i concur with you 100% especially hapo nilipobold
This is the point ambayo wengi ya wanaoenda kwenye ndoa wanaikataa.
Mwenye macho na aone na mwenye akili ashike maneno haya
 
Mkuu Buchanan i concur with you 100% especially hapo nilipobold
This is the point ambayo wengi ya wanaoenda kwenye ndoa wanaikataa.
Mwenye macho na aone na mwenye akili ashike maneno haya

Sure, wenye ndoa zetu, tulianza kwa kumshirikisha Mungu na tunaendelea na Mungu, sio kuweka suala nyeti la ndoa kwenye mizani ya kibinadamu, halafu mambo yakianza kuharibika unakosa pa kukimbilia! "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote." (Ebr. 13:4).
 
Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.

Mkuu kama unaweza kuniPM kwa kila lililo jema katika kukamilisha mchakato huu utakuwa umenisaidia sana, japo hata kwa kunipa references itakuwa nzuri pia. Be blessed Sir
 
Yaaaa ni mbaya sana labda haata anaweza kumpasua kizazi.....

Kaka hakuna mwanaume anayeweza kumpasua mwanamke kizazi mzee ndani ya sehemu ya mwanamke ukiacha pale reception kwa chini yake pana nyama ambayo hutanuka kutegemea na urefu wa utupu wa mwanaume. Sehemu hii hutanuka na kusinyaa kutegemea na mazoea inawezekana huyu dada sehemu yake ilikuwa ndogo kulingana na urefu wa bwana mkubwa. But kama wangelirudia mara mbili au tatu ile sehemu hutanuka or kurefuka kutegemea na urefu wa mwanaume.

Siendi zaidi mkuu inatosha hapo!!!
 
Ndio maana wanawake wa ulaya inasemekana wanaongoza na kuwa na maumbile makubwa kwasababu ile nyama huwa inatanuka kabla umri wake wa kukua kufika yaani watoto wa kike huanza mapenzi na watu wakubwa kabla umri wao wa kuwa wanawari
 
Siku hizi ndoa chache ndio zina shuhuda, ni jambo lisiloheshimiwa kwa baadhi ya watu, kuanzia ndoa za watumishi wa Mungu mpaka washirikika nyingi zina matatizo yaani wanaishi kwa kutunziana heshima lakini hakuna upendo. Nijuavyo mimi biblia inakataza talaka. Ndio maana tulipofungishwa ndoa tuliambiwa “Alichokiunganisha Mungu mwanadamu hatakitenganisha” Mungu anahusika katika ndoa hapendi kuona wana ndoa wanaachana.
 
kuna wakati nilisikia kama rungu ni kubwa saana linaweza likavalishwa pete, wakubwa hayo ni kweli?
 
Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.

Mkuu kama unaweza kuniPM kwa kila lililo jema katika kukamilisha mchakato huu utakuwa umenisaidia sana, japo hata kwa kunipa references itakuwa nzuri pia. Be blessed Sir

Nashukuru ndugu, nitashukuru kutoa ushuhuda na ushauri! Nikuachie neno hili: "Wanayo amani nyingi waishikao Sheria ya BWANA!"
 
Nashukuru ndugu, nitashukuru kutoa ushuhuda na ushauri! Nikuachie neno hili: "Wanayo amani nyingi waishikao Sheria ya BWANA!"
Senks Mkuu Buchanan
Neno zuri sana na ujumbe umekuwa delivered sehemu husika kabisa. Namuona hata Next Level anafurahia ujumbe huu mzuri
 
Back
Top Bottom