Rumours: Diego Costa (labda) kuhamia Uchina...

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,537
15,745
Rumours ni kutoka Goal.com, lakini hii sio issue. Kilichonivuta kuweka hili bandiko ni tabia za huyu bwana kule anaweza kung'olewa meno, maana chinese wana, taekwondo, kung fu, karate, judo na kadhalika.

diego-costa_3448070b.jpg

Martin-Skrtel-and-Diego-Costa-fight.jpg

&NCS_modified=20151113073025&MaxW=640&imageVersion=default&AR-151119603.jpg

maxresdefault.jpg

hqdefault.jpg
 
Huyu kichaa hajakutana tu na wababe akina MARCOS ROJO,OTAMENDI,PIQUE na MASCHERANO Wangemshikisha adabu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwani pique na huyo mascherano si walishakutana alipokuwa anacheza atletico au huko atletico hakufanya ujinga anaofanya chelsea
 
Urujo apambane na costa? kama ni mvivu kufatilia watu watafute watu hawa luisi nani/ ibrah / costa michezo yao nnje ya uwanja hawafai
 
huyo akienda uchina halafu akaendeleza ubabe wake basi ajiandae na kun fu! vile vijamaa si vya kufanyiwa masihara.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwani pique na huyo mascherano si walishakutana alipokuwa anacheza atletico au huko atletico hakufanya ujinga anaofanya chelsea

Walikuwa wanakutana lkn anakuwa mpole Huo uchizi wake alikuwa haufanyi mbele ya hao wawili MASCH & PIQ.. unajua huyu mtu nilishamsoma kitambo..akikutana na wababe hafanyi ushenzi wake, ila akikutana na wapole ndiyo anaanza zake....mtu ka ROJO au OTAMENDI hatoweza kuwafanyia ivo anaujua mziki wao
 
Rojo ana ubabe gani mkuu.... bora ungenambia watabe kama barton...

Costa amewafanyia ubabe kina Pepe sembuse pique na rojo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom