Rule namba moja yako ipi?

Keep silent
 
1.Never Lie

Usijichanganye kunidanganya,sina uongo mdogo wala uongo mkubwa kwangu uongo ni uongo (sinaga utani eneo hilo) kuna kunizuga eti "nilikua nakutaniaaaaa" sio kwangu,utani wa UONGO nauchukulia ni Reality Show.

Sisahau tunapochat tunapoongeaa huwa nafanya recall na zile past stories niki find out kuna mahali ulipndisha maelezo either kwa kutania (kama utavyojitetea) au kwa kudhamiria,Fahamu ktk marks nilizokupa Natoa 50,kama uli score 70/100 tukitoa 50 tunapata 20/100.
 
Mtu namdai, sitachoka kumpigia hata anipe block
 
1. Stop telling people more than they need to know. Information ni ghali sana.

2. Napenda revenge, haijalishi nitatumia muda gani kuitimiza.

3. Sitafuti validation kwa mtu au watu.
Namba 2, mwachie Karma
 
Naomba namna yako mkuu
Mfano tumekutana ndugu au jamaa tuliosoma nao,huwa ni story tu na tukitaka kuachana huwa sina muda wa kuomba namba hata kama ndugu au jamaa awe na wadhifa gani

Maana sinaga story kwenye sm,sasa hata namba nikichukua tutaongea nini
 
Tuna fanana some characters... ila naskia siyo nzuri sana coz kiasili binadamu tuna tegemeana coz hujui atakaye kusaidia ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…