Rukwa: Mwanamke apigwa mawe hadi kufa kwa tuhuma za ushirikina

Hahahaa...

Aisee sikuwahi kuamini uchawi ili kuna siku hivi majuzi nilifika mahali bila wao kujua, ilikuwa mida ya saa saba usiku, nikawasikia wanatoa manuio makali sana ya kulaani watu.

Sikuwahi kujua kama wachawi wanatisha vile. Nilitishwa mno na yale maneno wanayoyatamka!

Si ajabu watu wengi wamefungwa kichawi chawi tu!
Ndy zao mkuu,,,kwanza mchawi ni bingwa wa kunuia,,,,ukiwakuta wanavyopangilia maneno ya kunuia ni balaa mkuu
 
Punguza munkari mkuu,washenzi wako kila mahali duniani sio Africa peke yake.
Yangotokea ulaya ungeona Miafrica ya Buza au Kakora inapost Black Lives Matter kwe he Status zao za Watsap.

Ila huyu mama kauawa na manyani wenzake tunaona kawaida tu. Kweli Miafrica sisi Ni laana.
 
Kutoweka kitatanishi au vifo visivyoeleweka ni mambo ambayo yako duniani kote,baadhi ya psychopaths wanajua kufukia mapito yao ya uhalifu kiasi cha kumchanganya kila mtu.
Ni akili finyu sana kuhusianisha kila kitu chenye utata na uchawi.
Umekulia wapi ndugu yangu hadi hili suala lionekane jipya kiasi hicho !!!

Sihalalishi chochote ila ukikaa maeneo yenye ushirikina ndio utaelewa hayo masuala ya watu kutoweka kimazingira tatanishi au vifo ambavyo havieleweki..

Imagine ndugu yako katoweka halafu unakuja kupata taarifa kawekwa kishirikina na mtu.. mnaenda kumuokoa huku akiwa hajielewi, unadhani ukikutana na mtu alieyafanya hayo utamchekea !!!!!

Kuua sio sawa lakini hata marehemu ni muhalifu tu na huwezi jua wasingempata alikuwa na mpango nae gani
 
Una ushuhuda wowote au na wewe ulisikia kwa watu tu?
Huwa nashangaa sana michango ya watu humu wanaojifanya eti ni werevu kumbe n wajinga wa kutupwa.
Ushirikina upo sana Rukwa hasa maeneo ya vijijini waliowahi kuishi huko wanaweza kuwa mashuhuda wazuri wa hayo mambo.

NB:kila binadamu ana haki ya kuishi sikubaliana kabisa na kitendo cha watu kujichukulia sheria mkononi
 
Story za misukule na uongo mtupu na wa kijinga sana.
Wewe uliishaibiwa?je ukimkamata mwizi wako utamfanyaje?utampa soda na chips ale au utampa kipondo?hebu ongea ukweli,,, mfano,,,mama yako kapotea kwenye mazingira ya utata,,,baada ya muda mwanao nae anapotea,,mnatafuta kwa muda kadhaa,,mnafanikiwa kumkuta kwa mama Fulani,,akiwa kamgeuza msukule mtoto wako,,, sasa utachukuwa hatua gani?
 
Ulitakiwa upeleke ushahidi au ufungwe kabisa kwa kujaribu kuharibu maisha ya watu na story zako zisizo na logic au ushahidi wowote.
Halafu hiyo serikali ndy tatizo kubwa kabisa,,,Mimi mkuu yalinikuta matatizo kama hayo,,,halafu matokeo yake yule niliyemtuhumu uchawi akaenda police kupindua kesi nataka kumuua..duu,,police walinisumbuwa sn tu...
 
Wewe kupoteza rands zako na vitu kuchimbiwa getini kuna uhusiano gani?
Unafikiri wote mambo yanayowaendea vibaya katika maisha huwa wanaelewa sababu za moja kwa moja chanzo ni nini?
Unafikiri kutokuelewa chanzo cha hasara katika maisha kinaipa uhalali hoja yako ya uchawi?
Mkuu Mimi kuna jirani yangu mmoja nikimtuhumu uchawi,,matokeo yake akapinduwa kesi police nimetishia kumuua,,,,nilisumbuka sana hadi kufuta kesi...
Wakati nipo south Africa,,,kuna Dada Fulani jirani yangu alinitumia text,,akanambiya jirani namuona mama wa nyumba ya jirani yako anafukia vitu getini nyumbani kwako,,,sababu ni usiku na hanioni,,ila anafanya vitu sivielewi hapa getini,,,anachimba na kufukia vitu,, na kwa kweli wakati nipo kule nilipata mikosi sana tu ,,nilipoteza zaidi ya maelfu ya rands kimikosi mikosi tu,, basi niliporudi nilitafuta mbinu nikamwambiya yule mama,,kesho naleta mganga hapa nyumbani au utoe vitu ulivyoviweka hapa getini,,,aisee,,muda sio muda yule mama katoka mbio kaelekea police,,,kufika kapindua kesi nimetamka nataka kumuua,,duu,,kesi ilinimalizia sana pesa,,,kwahyo mkuu walozi wapo na hawaatahili kuishi,,wakaishi dunia yao huko mbele ya safari...huyo mama angebakishwa angesingizia hata wamembaka,,,na upotevu wa Mali ...
 
Ulitakiwa upeleke ushahidi au ufungwe kabisa kwa kujaribu kuharibu maisha ya watu na story zako zisizo na logic au ushahidi wowote.
Mkuu nifungwe kwa kumwambiya kesho naleta mganga nyumbani kwangu?sasa pale kwngu yeye pana muhusu nini?akimbilie police?kama hana tatizo kwnn kaogopa mganga kuja nyumbani kwangu?na mm nilisema kusudi kumtisha nione temper yake,,,sikuwa na mganga wala chochote, nilitaka kujiridhisha na zile tuhuma dhidi yake ,,,nikagunduwa ni kweli kwa alichofanya kwangu...na kaonekana kweli anafanya mambo ya ulozi nyumbani kwangu,,tena getini,,,usiku wa saa nne,,,,kwakuwa alikimbilia police kushtaki nimesema nitamuua,,, akapewa yeye haki na police kwa msaada wa serikali haiamini uchawi,,,lakini kutwa hao hao viongozi wa serikali wanapishana kwa waganga Kuroga....ndy maana wachawi wakiingia kwenye anga zetu tunamalizana nao tu...na hapa ninapoandika comment hii mkuu,, ni saa saba za usiku,,lakini nje kuna mapaka walikuwa wanalia sn tena mlio wa ajabu,,nimetoka nimemvunja mmoja kiuno na jiwe,, kesho nikimuona bibi yeyote anasota kwa magoti najuwa ndy yeye yule paka,,,nitamlizana nae tu,,,wanga sio wa kuwachekea mkuu,,hawa ndy wanaoturudisha nyuma maendeleo,,,
 
Wewe kupoteza rands zako na vitu kuchimbiwa getini kuna uhusiano gani?
Unafikiri wote mambo yanayowaendea vibaya katika maisha huwa wanaelewa sababu za moja kwa moja chanzo ni nini?
Unafikiri kutokuelewa chanzo cha hasara katika maisha kinaipa uhalali hoja yako ya uchawi?
Mimi nina hisi pengine wewe ni yule yule mama mchawi jirani yangu sio bure....haiwezekani utetee hoja zangu kiasi hiki,,,
 
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watu wasiojulikana kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga mawe, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Birika (40), mkazi wa Kijiji cha Myunga, Kata ya Mkali, wilayani Kalambo.

Imeelezwa kuwa watu hao wamemfanyia kitendo hicho kwa kumtuhumu kujihusisha na vitendo vya kishirikina.

Tukio la mauaji ya mwanamke huyo lilitokea Juni 26, saa 12:00 jioni baada ya watu hao kufika nyumbani kwake na kumkuta mtoto aliyefahamika kwa jina Given Lameck (15), akiwa amefungiwa nyumbani kwa mwanamke huyo, huku akiwa amefungwa kitambaa chekundu usoni.

Kabla ya mauaji hayo, mtoto Given alipotea nyumbani kwao katika mazingira ya kutatanisha, ndipo harakati za kumtafuta zilianza, na kwamba ndugu zake walimtafuta kwa muda mrefu bila mafanikio.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Justine Masejo, alisema baada ya jitihada za kumpata mtoto huyo kushindikana, waliamua kutoa taarifa kwa uongozi wa kijiji kisha kuendelea kumtafuta.

Alisema baada ya kumtafuta kwa muda mrefu walifanikiwa kumkuta nyumbani kwa mwanamke huyo akiwa amefungiwa ndani na amefungwa kitambaa chekundu usoni, huku akionekana kana kwamba amechanganyikiwa kutokana na kuongea vitu visivyoeleweka.

Baada ya kupatikana kwa mtoto huyo, ndipo watu waliokuwa wakimtafuta walipo hamaki na kushikwa na hasira na kuanza kumpiga mwanamke huyo kwa mawe na vipande vya matofali vilivyokuwa karibu na nyumba yake na kumsababishia majeraha makubwa, kuvuja damu nyingi na kufariki dunia kutokana na kukosa matibabu ya haraka.

Kamanda Masejo alitoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Rukwa kuachana na imani za kishirikina katika matukio yanayotokea mkoani humo, kwa kuwa imani hizo zimekuwa chanzo cha vifo vingi vinavyotokana na kujichukulia sheria mikononi.

Chanzo: IPP Media
Mambo ya ushirikina/uchawi ni adui wa 'wellbeing' ya mtu na maendeleo yake. Usikubali kutawaliwa na imani ya ushirikina/uchawi. Nilizaliwa mahali ambapo watu wake waliamini sana na bado wanaamini ushirikina/uchawi na kutokana na imani ya aina hii maendeleo yamechelewa sana kwa sababu watu waliamini ukijenga wachawi watakuroga au ukivaa nguo nzuri wachawi watakuroga au ukipata mali wachawi watakuroga. Kila tukio baya linatokana na ushirikina/uchawi - ajali, kujifungua mtoto aliyekufa, kuumwa ugonjwa unaochukua muda kupona, kuachishwa kazi, kukosa kazi, kutopandishwa cheo, kuzaa watoto wa kike tu, kushindwa mtihani, kuchelewa kupata mtoto, kushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida, kujifungua mtoto mwenye sura isiyo ya kawaida...etc.

Na wachawi/washirikina mara nyingi wanasingiziwa wazee wenye umri mkubwa kuliko wengine au watu wanaoonekana wana macho mekundu na ngozi isiyo ya kawaida kwa sababu ya umaskini na kukosa mahitaji muhimu. Mtu akisafiri kama jirani yake amefariki dunia au amefiwa na bila kujua kwa nini amesafiri na kuwaacha wengine wakiwa kwenye msiba naye wanaweza kumtuhumu kuwa ni mchawi. Mambo haya yalinifanya niogope sana nilipokuwa mdogo (shule ya msingi) maana karibu kila siku kulikuwa na tukio la ushirikina/uchawi. Kilichonisaidia ni kwamba nilianza mafundisho ya dini na niliyaelewa vizuri na kuwa na imani imara baada ya kubatizwa na mwalimu wetu alikuwa anajua kufundisha na kuelezea vizuri imani ya ushirikina/uchawi.

Mfano, wakati huo mtu akifariki baadhi ya watu walidai walimwona au walimsikia walipokuwa wakipita sehemu fulani fulani usiku akiwaita. Wengine walidai 'mti fulani usiku huwa unaanguka barabarani na mchana unakuwa umesimama na wengine kwamba ukipita kwenye miti fulani usiku wachawi huwa wanaota moto. Kutokana na mafundisho ya dini na kuamini kwamba mwenye power ya kila kitu ni Mungu, taratibu nilianza kuachana na woga niliokuwa nao na usiku nilikuwa natembelea sehemu walizokuwa wanasema mtu akienda angekutana na wachawi au mti ulioanguka usiku au mtu akipita usiku wachawi watamtupia mchanga au kwamba sehemu fulani wachawi wanaota moto etc.

Sehemu hizo zote nilifika kwa kujiamini sana (kwa sababu ya woga niliokuwa nimejengewa nikiwa mdogo na kuambiwa na wakubwa bila kuhoji) ulikuwa haupo tena, badala yake niliamini Mungu ndiye kila kitu na sioni sababu ya kuogopa washirikina/wachawi. Sasa nilianza kutafiti/kuhoji kwa kwenda hizo sehemu peke yangu kuona kama hayo waliyokuwa wakiyasema yanatokea kweli. Niligundua haya yafuatayo: 1) Usiku miti inaingiza hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya ukaa (kwa hiyo ukipita karibu utasikia hali ya joto na siyo wachawi kuota moto). 2) Sehemu za kwetu mahali kwenye mchanga, hasa barabarani pande zote mbile za barabara huwa kuna mimemea yenye majani makubwa hata zaidi ya kiganja cha mtu. Wanakijiji wengi hutumia ndala (kama viatu) na ukipita sehemu kama hizi na hasa kama uko peke yako, lazima mawazo kuwa wachawi watakutupia mchanga yatakujia. Hivyo, kwa woga itabidi utembee kwa haraka au hata kukikimbia na kama utakuwa umevaa ndala sehemu ya nyuma itakuwa inarusha mchanga na mwingine utakuwa unagonga yale majana na pia baadhi ya mchanga utakurudia na hapo utadhani kuna mchawi anakutupia. 3) Katika kupitapita kwangu sehemu mbalimbali kama sehemu ya utafiti wangu sikuwahi kuona mti umeanguka barabarani ambao kesho yake ningeukuta umesimama. 4) Sehemu ambazo baadhi walidai wakipita walimsikia au kumwona mtu aliyefariki dunia hivi karibuni (kwamba huwa amechukuliwa na wachawi) sikuwahi pia kusikia sauti yake akiita au kumwona, ila kwa vile ni mambo yanayoongelewa na wengi ukipita sehemu kama hizo na kutokana na woga ambao umeshakuwa nao, ni wazi kuwa unaweza kudhani ni kweli, lakini siyo kabisa! Kutokana na utafiti wangu huu na kujiridhisha kiasi cha kutosha kwamba uchawi haupo, nilikuwa mtu tofauti na hadi leo mtu akinisimulia habari za ushirikina/uchawi nina'switch off' mara moja maana siamini kabisa hayo madudu na wala simwogopi mchawi ingawa nawaogopa majambazi na wakabaji - hawa nawaogopa na siyo mchawi ambaye eti anaweza kuniita kichawi/kishirikina akiwa mbali nikamfuata.

Siamini hata kidogo. Zamani kwetu kila tukimwona mzee fulani ambaye uwezo wake wa kuona umefifia hivyo akitaka kuangalia kitu anatoa macho na kwa vile wazee wengi wana macho mekundu tuliamini ni mchawi. Sasa wazee (karibu wote) walishafariki na sasa wachawi/washirikina wanashikana ndugu. Mtoto akifariki utasikia 'aliyefanya hivi ni shangazi au mjomba, au baba mkubwa au, bibi yake au shemeji yake, au jirani yake etc. Kwa sababu gani? Ugomvi wa mashamba kwa sababu ya idadi ya watu kuwa wengi na sehemu za kulima kuwa finyu na watu wakigombona na kuhitilafiana wanatoleana kauli fulani fulani na ikitokea mtu ametoa kauli kwa sababu ya hasira au kutaka point yake isikilizwe na kuzingatiwa (na siyo kwa sababu ya uchawi/ushirikina) ikitokea mtu aliyehitilafiana naye kafiwa na mtoto, ndugu au mke ni lazima mchawi/mshirikina awe huyo waliohitilafiana kwa kauli.

Kuna baadhi ya watu pia wanadhuriana kwa sababu hizi za kijinga kama sehemu nyingine wanazoua wazee eti kwa nini hawajafa na kama hawajafa katika uzee huo ndio wanaosababisha magonjwa, vifo na majanga mengine katika sehemu zao! Come on! Hivyo, utaona kwamba ushirikina/uchawi unajengwa na 1) hofu ya kitu usichokijua 2) hofu hii imejengwa kwa muda mrefu na karibu kila mwanakijiji anaamini hivyo. 3)fitina/chuki/ugomvi wa muda mrefu 4) kutokea kwa magojwa/majanga au vifo ambavyo vyanzo vyake havijulikani na ile akili itulie, lazima kupata watu wa kusingizia (scapegoats) na hawa ni wale tunaowafikiria vibaya, tunawachukia/hatuwapendi/tunawatakia mabaya etc. If you entertain such unfounded beliefs you will certainly accuse your own relative/friend/neighbour as a witch/wizard. If you want to get rid of this destructive belief in you, you too research on uchawi/ushirikina and you will come to believe what I have discovered myself. As a methodology for life, don't accept anything as true until you prove or at least you are certain that it's true. Otherwise, suspend judgement and seek more information and regard it as true to the extent you are well-informed about it and not otherwise. French philosopher and mathematician Rene Descartes had what he called a 'methodical doubt' - meaning he wouldn't accept anything for he didn't want to be deceived or misled by just accepting what he heard or other people said and believed it until he established it for himself that it was true. I too won't accept or believe anything as true until I verify/ascertain/establish it for it's only when I can rely on it.
 
Nyumba yako halafu unamuambia jirani unaleta mganga kwako?! Wewe utakuwa hauko sawa upstairs,ona sasa hadi unaenda kupambana na paka kisa wamelia usiku karibu na nyumba yako.
What next?Labda kutembea uchi huku ukiokota makopo
Mkuu nifungwe kwa kumwambiya kesho naleta mganga nyumbani kwangu?sasa pale kwngu yeye pana muhusu nini?akimbilie police?kama hana tatizo kwnn kaogopa mganga kuja nyumbani kwangu?na mm nilisema kusudi kumtisha nione temper yake,,,sikuwa na mganga wala chochote, nilitaka kujiridhisha na zile tuhuma dhidi yake ,,,nikagunduwa ni kweli kwa alichofanya kwangu...na kaonekana kweli anafanya mambo ya ulozi nyumbani kwangu,,tena getini,,,usiku wa saa nne,,,,kwakuwa alikimbilia police kushtaki nimesema nitamuua,,, akapewa yeye haki na police kwa msaada wa serikali haiamini uchawi,,,lakini kutwa hao hao viongozi wa serikali wanapishana kwa waganga Kuroga....ndy maana wachawi wakiingia kwenye anga zetu tunamalizana nao tu...na hapa ninapoandika comment hii mkuu,, ni saa saba za usiku,,lakini nje kuna mapaka walikuwa wanalia sn tena mlio wa ajabu,,nimetoka nimemvunja mmoja kiuno na jiwe,, kesho nikimuona bibi yeyote anasota kwa magoti najuwa ndy yeye yule paka,,,nitamlizana nae tu,,,wanga sio wa kuwachekea mkuu,,hawa ndy wanaoturudisha nyuma maendeleo,,,
 
Hadithi za uchawi zimewakaa sana wabongo,ukizisikiliza hadithi zenyewe ni za kiwaki sana unashindwa kuelewa inakuaje kundi kubwa hivyo la watu wazima wanaziamini.
Mambo ya ushirikina/uchawi ni adui wa 'wellbeing' ya mtu na maendeleo yake. Usikubali kutawaliwa na imani ya ushirikina/uchawi. Nilizaliwa mahali ambapo watu wake waliamini sana na bado wanaamini ushirikina/uchawi na kutokana na imani ya aina hii maendeleo yamechelewa sana kwa sababu watu waliamini ukijenga wachawi watakuroga au ukivaa nguo nzuri wachawi watakuroga au ukipata mali wachawi watakuroga. Kila tukio baya linatokana na ushirikina/uchawi - ajali, kujifungua mtoto aliyekufa, kuumwa ugonjwa unaochukua muda kupona, kuachishwa kazi, kukosa kazi, kutopandishwa cheo, kuzaa watoto wa kike tu, kushindwa mtihani, kuchelewa kupata mtoto, kushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida, kujifungua mtoto mwenye sura isiyo ya kawaida...etc.

Na wachawi/washirikina mara nyingi wanasingiziwa wazee wenye umri mkubwa kuliko wengine au watu wanaoonekana wana macho mekundu na ngozi isiyo ya kawaida kwa sababu ya umaskini na kukosa mahitaji muhimu. Mtu akisafiri kama jirani yake amefariki dunia au amefiwa na bila kujua kwa nini amesafiri na kuwaacha wengine wakiwa kwenye msiba naye wanaweza kumtuhumu kuwa ni mchawi. Mambo haya yalinifanya niogope sana nilipokuwa mdogo (shule ya msingi) maana karibu kila siku kulikuwa na tukio la ushirikina/uchawi. Kilichonisaidia ni kwamba nilianza mafundisho ya dini na niliyaelewa vizuri na kuwa na imani imara baada ya kubatizwa na mwalimu wetu alikuwa anajua kufundisha na kuelezea vizuri imani ya ushirikina/uchawi.

Mfano, wakati huo mtu akifariki baadhi ya watu walidai walimwona au walimsikia walipokuwa wakipita sehemu fulani fulani usiku akiwaita. Wengine walidai 'mti fulani usiku huwa unaanguka barabarani na mchana unakuwa umesimama na wengine kwamba ukipita kwenye miti fulani usiku wachawi huwa wanaota moto. Kutokana na mafundisho ya dini na kuamini kwamba mwenye power ya kila kitu ni Mungu, taratibu nilianza kuachana na woga niliokuwa nao na usiku nilikuwa natembelea sehemu walizokuwa wanasema mtu akienda angekutana na wachawi au mti ulioanguka usiku au mtu akipita usiku wachawi watamtupia mchanga au kwamba sehemu fulani wachawi wanaota moto etc.

Sehemu hizo zote nilifika kwa kujiamini sana (kwa sababu ya woga niliokuwa nimejengewa nikiwa mdogo na kuambiwa na wakubwa bila kuhoji) ulikuwa haupo tena, badala yake niliamini Mungu ndiye kila kitu na sioni sababu ya kuogopa washirikina/wachawi. Sasa nilianza kutafiti/kuhoji kwa kwenda hizo sehemu peke yangu kuona kama hayo waliyokuwa wakiyasema yanatokea kweli. Niligundua haya yafuatayo: 1) Usiku miti inaingiza hewa ya oksijeni na kutoa hewa ya ukaa (kwa hiyo ukipita karibu utasikia hali ya joto na siyo wachawi kuota moto). 2) Sehemu za kwetu mahali kwenye mchanga, hasa barabarani pande zote mbile za barabara huwa kuna mimemea yenye majani makubwa hata zaidi ya kiganja cha mtu. Wanakijiji wengi hutumia ndala (kama viatu) na ukipita sehemu kama hizi na hasa kama uko peke yako, lazima mawazo kuwa wachawi watakutupia mchanga yatakujia. Hivyo, kwa woga itabidi utembee kwa haraka au hata kukikimbia na kama utakuwa umevaa ndala sehemu ya nyuma itakuwa inarusha mchanga na mwingine utakuwa unagonga yale majana na pia baadhi ya mchanga utakurudia na hapo utadhani kuna mchawi anakutupia. 3) Katika kupitapita kwangu sehemu mbalimbali kama sehemu ya utafiti wangu sikuwahi kuona mti umeanguka barabarani ambao kesho yake ningeukuta umesimama. 4) Sehemu ambazo baadhi walidai wakipita walimsikia au kumwona mtu aliyefariki dunia hivi karibuni (kwamba huwa amechukuliwa na wachawi) sikuwahi pia kusikia sauti yake akiita au kumwona, ila kwa vile ni mambo yanayoongelewa na wengi ukipita sehemu kama hizo na kutokana na woga ambao umeshakuwa nao, ni wazi kuwa unaweza kudhani ni kweli, lakini siyo kabisa! Kutokana na utafiti wangu huu na kujiridhisha kiasi cha kutosha kwamba uchawi haupo, nilikuwa mtu tofauti na hadi leo mtu akinisimulia habari za ushirikina/uchawi nina'switch off' mara moja maana siamini kabisa hayo madudu na wala simwogopi mchawi ingawa nawaogopa majambazi na wakabaji - hawa nawaogopa na siyo mchawi ambaye eti anaweza kuniita kichawi/kishirikina akiwa mbali nikamfuata.

Siamini hata kidogo. Zamani kwetu kila tukimwona mzee fulani ambaye uwezo wake wa kuona umefifia hivyo akitaka kuangalia kitu anatoa macho na kwa vile wazee wengi wana macho mekundu tuliamini ni mchawi. Sasa wazee (karibu wote) walishafariki na sasa wachawi/washirikina wanashikana ndugu. Mtoto akifariki utasikia 'aliyefanya hivi ni shangazi au mjomba, au baba mkubwa au, bibi yake au shemeji yake, au jirani yake etc. Kwa sababu gani? Ugomvi wa mashamba kwa sababu ya idadi ya watu kuwa wengi na sehemu za kulima kuwa finyu na watu wakigombona na kuhitilafiana wanatoleana kauli fulani fulani na ikitokea mtu ametoa kauli kwa sababu ya hasira au kutaka point yake isikilizwe na kuzingatiwa (na siyo kwa sababu ya uchawi/ushirikina) ikitokea mtu aliyehitilafiana naye kafiwa na mtoto, ndugu au mke ni lazima mchawi/mshirikina awe huyo waliohitilafiana kwa kauli.

Kuna baadhi ya watu pia wanadhuriana kwa sababu hizi za kijinga kama sehemu nyingine wanazoua wazee eti kwa nini hawajafa na kama hawajafa katika uzee huo ndio wanaosababisha magonjwa, vifo na majanga mengine katika sehemu zao! Come on! Hivyo, utaona kwamba ushirikina/uchawi unajengwa na 1) hofu ya kitu usichokijua 2) hofu hii imejengwa kwa muda mrefu na karibu kila mwanakijiji anaamini hivyo. 3)fitina/chuki/ugomvi wa muda mrefu 4) kutokea kwa magojwa/majanga au vifo ambavyo vyanzo vyake havijulikani na ile akili itulie, lazima kupata watu wa kusingizia (scapegoats) na hawa ni wale tunaowafikiria vibaya, tunawachukia/hatuwapendi/tunawatakia mabaya etc. If you entertain such unfounded beliefs you will certainly accuse your own relative/friend/neighbour as a witch/wizard. If you want to get rid of this destructive belief in you, you too research on uchawi/ushirikina and you will come to believe what I have discovered myself. As a methodology for life, don't accept anything as true until you prove or at least you are certain that it's true. Otherwise, suspend judgement and seek more information and regard it as true to the extent you are well-informed about it and not otherwise. French philosopher and mathematician Rene Descartes had what he called a 'methodical doubt' - meaning he wouldn't accept anything for he didn't want to be deceived or misled by just accepting what he heard or other people said and believed it until he established it for himself that it was true. I too won't accept or believe anything as true until I verify/ascertain/establish it for it's only when I can rely on it.
 
Nyumba yako halafu unamuambia jirani unaleta mganga kwako?! Wewe utakuwa hauko sawa upstairs,ona sasa hadi unaenda kupambana na paka kisa wamelia usiku karibu na nyumba yako.
What next?Labda kutembea uchi huku ukiokota makopo
Wewe ndy upo smart up stair? Duu,,yaani humu jf humu? kila mtu yeye mjuaji,,hata mapimbi kama nyie mnatukana mabaharia,, duu,, sawa mkuu,,ila huwezi kuwa smart kama bado utaendelea kukaa kwa Shemeji yako..elewa kukaa kwako humo ndani ndy jinsi sehemu za siri za dada yako zinavyozidi kuumia...na kutumia ndivyo sivyo...
 
Mungu unaemuamini anasema uchawi upo. Hayajakukuta tu. Katika mada hii naona haikua busara kuuwa kwa sababu njia waliyotumia kujua kua mtoto yupo ndani kwa bibi ni ushirikina pia.
Kama ni mfatiliaji mamia ya miaka huko nyuma wazungu waliamini katika kuteketeza wachawi ndo wakapata maendeleo waliyonayo leo.
 
Kutoweka kitatanishi au vifo visivyoeleweka ni mambo ambayo yako duniani kote,baadhi ya psychopaths wanajua kufukia mapito yao ya uhalifu kiasi cha kumchanganya kila mtu.
Ni akili finyu sana kuhusianisha kila kitu chenye utata na uchawi.

Ok
 
Back
Top Bottom