Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Heaven on earth hakuna tatizo lolote ila nawasisi na Mamndenyi kwanini anipangie kufanyia kazi sm chache kutoka kwake,huku mke wangu Evelyn Salt ampangie maelfu ya km kutoka kwangu?¿ Tafakari. Afu na wewe huo uwanja wako unatutega bhana.
Slave hapa ni mwendo wa tafakari na chukua hatua ........nimekuelewa sasa..........

itabidi kesho nipunguze japo kidogo...wake zenu wasije nitimua hum ndani bure
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah shemeji Erickb52 huu umwenyekiti wako nna mashaka nao yaan kazi yako ni kuidhinisha ndoa tu! Bishanga mwambie Erickb52 ndoa yetu na Rejao haihitaji kupitishwa na mtu as ina umri mrefu wa kutosha.
 
Last edited by a moderator:
utawekaje watu kwenye probation wakati tayari wanakulana
mi yakwangu ni halali kabisa sina wasiwasi na hatuitaji usaili
 
utawekaje watu kwenye probation wakati tayari wanakulana
mi yakwangu ni halali kabisa sina wasiwasi na hatuitaji usaili

na wala haiitaji mjadala mpenzi wangu. kuna files kibao humu za ndoa yetu. love u love u....
 
Last edited by a moderator:
tena Mamndenyi bora unyamaze kabisa nilikuja huko mjini kwenu mkanifanyia vitimbi begi na hela zangu vimepotelea mkononi
Hahahhahaaa
Ushamba ni kama gunia la misumari yan ni shughuli sana kuwa mshamba
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…