masai dada njoo soma hii kitu ya Kichwa Ndio Mtu uweke hoja mezani ya kupinga
Usiwapotoshe. Sheria hii ni kwa wale wa ndoa za ki mila. Ila kwa wa islam au wakristo wataendelea kufuata sheria za dini yao. Ila wewe kama ni muislam au mkristo na unataka kuoa wake kumi hautokatazwa kisheria za nchi bali utakua umejitoa mwenyewe kwenye dini yako!Dini zote mkuu ni sheria imesainiwa leo na rais uhuru
Kenya raha kweli sasa hv
Eee mnachezea serekali tatu tatu kwa mzunguko
Sasa uislamu naona umeanza kukubalika taratiibu, safi sana insha-allah tutafika tu.
selfish
ushawaihi kusoma vile vibao vikogo barabarani
mara mgnga toka kongo,mara nigeria??
ushawahi na ukachukua namba?? si mnawapondaga ooh mara mbona kila mtu anasema anajua dawa za nguvu za kiume mara ooh sijui nini
sasa jaribu tu hata serikali mbili alafu mtawala mmoja utaona,,utatoka kuanzia tegeta mpaka vingunguti hukioni kibao hata kimoja
Hahaha huu ubishi wa kuridhi inabidi nikutafute binafsi nipige na wewe show moja ili uje na majibu.
Mkuu hata ikipitishwa nchini mwetu majanga yatazidi kuwepo, tena bora ibaki kama ilivyo kuliko yakija mabadiliko, kwa jinsi watanzania tunavyopenda ngono nina uhakika maambukizi ya gonjwa la ukimwi yataongezeka.Rais Kenyatta asaini Muswada wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 2014 punde huko Nairobi, sasa wanaume wako huru kuoa idadi ya wanawake kadri wawezavyo. Hii nimeipenda inatufaa sana hapa kwetu Tanzania.
Rais JK na bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sikieni kilio hiki kwa niaba ya wana MMU pelekeni mswada bungeni tujizolee tu kama kenya hata kumi unaowa ni pumzi yako tu.
Eee show nasimamia mwenyewe mwanzo mwisho