Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,376
- 29,903
Kumkosoa tu huyo kilaza samuya tayari ni uchochezi kwa kuwa hta kujitetea tu kwake ni shughuli pevu. Kwenye Matusi sidhani kama viongozi wa upinzani wanatukana jukwaani.Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Pumbavu, ccm hawataki kusikia ukweli, ukisema ukweli ni ugaidiHivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Mkuu, tunaomba mfano wa lugha ya kichochezi hata 1 tu.Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Na kwa elimu yangu, ni kiumbe mmoja tuu ambaye yeye na uongo ni damu damu mpaka akaitwa baba wa uongo.Pumbavu, ccm hawataki kusikia ukweli, ukisema ukweli ni ugaidi
1+1=2, Ukisema hivyo ni kosa, inabidi useme ni 11.
.
Mwoga ni mwoga tu unaweza mpa salamu ya heshima akakusingizia umemtukana!Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Waanze na kumwachia yule Simba aliyeanza kupewa jina la simba wa kizimkazi na baadae kweli wamemzuia ndani ya fensi halafu maisha mengine yaendelee.Selikali imefyata mkia mashart ya Jumuia ya madola.
HAMTASIKIA TENA.
1. Utekaji.
2. Mauaji.
3. Ukiukwaji wa katiba.
4. Kubambikizwa kesi za Ugaidi, Uchochezi, uhaini
5. Zuio la mikutano ya kisiasa
6. Wafungwa wa kisiasa.
Kama lugha ipi? Weka mfano. Jukwaani ni sehemu ya vyama kushambuliana, bahati mbaya chama kimojawapo kishambuliwapo polisi hukikingia kifua na kulifanya shambulizi hilo ni dhidi ya serikali! Hali hii ndiyo imeifanya Tanzania kuwa nchi ya hovyo kwenye siasa ambayo sasa ni kazi hatarishi licha ya kupungua kwa ukamataji, utekaji na mauaji ya kifahari yaliyokuwa yakifanyika kila siku, wameshiba.Hivi hakuna namna ukawa jukwaani ukasema maneno ya upinzani bila kuzua utata, yaani bila lugha za kichochezi wala matusi?
Zuio bado lipo palepale kwani lilitolewa na waziri mambo ya ndani, halikutolewa na polisi ambaye yuko chini ya waziri kiutendaji.Selikali imefyata mkia mashart ya Jumuia ya madola.
HAMTASIKIA TENA.
1. Utekaji.
2. Mauaji.
3. Ukiukwaji wa katiba.
4. Kubambikizwa kesi za Ugaidi, Uchochezi, uhaini
5. Zuio la mikutano ya kisiasa
6. Wafungwa wa kisiasa.