Ruhere: Mze Mtei ndiye aliyetunza fedha za vyama vya wapigania Uhuru, Membe amefanya harakati ndogo sana Afrika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,951
141,940
Mwandishi wa habari mkongwe nchini mzee Livingstone Ruhere amesema mzee Mtei ndiye aliyehifadhi fedha zote za vyama vya wapigania uhuru barani Afrika wakati huo akiwa ni gavana wa BoT katika serikali ya Nyerere.
Mzee Ruherr anasema Membe ni mwanadiplomasia aliyefanya kwa kiasi chake katika siasa za kimataifa lakini kuna wengine waliofanya makubwa ZAIDI kuhakikisha bara la Afrika linakuwa huru na kujitawala.

Mzee Ruhere ameonyesha picha ya baadhi ya watanzania wakiwa na Rais Putin wa Russia, Samora rip wa Msumbiji, Rais Mwanangagwa wa Zimbabwe na wapigania uhuru wengine wakiwa katika kijiji cha Kaole kule Bagamoyo wakati wa mafunzo.
Source Clouds 360!

My take:
Kumbe ufisadi wa chadema umeasisiwa na hawa vijana waliopo sasa, Waxee wao kina Mtei walikuwa wazalendo pamoja na kutofautiana mitazamo na mwalimu katika baadhi ya mambo.
 
ushalipwa lakini buku 7 ya supu..maana hata sijakuelewa ningekupa jero tu
 
Siju huyo Mzee anatuambia nini hata mada yake haina mashiko.Kila karne ina mambo yake.Ya zamani yameisha tunaangalia ya sasa.Ya kale yamebaki ni historia tu kwetu na kamwe hayatajirudia tena.
 
Kwa hiyo unashauri na membe nae aanze kuweka pesa za wapigania haki wa afrika ili ikuwe amefanya harakati za kutosha afrika? Maana sijaoja lengo au maudhui ya post hii.
 
Mwandishi wa habari mkongwe nchini mzee Livingstone Ruhere amesema mzee Mtei ndiye aliyehifadhi fedha zote za vyama vya wapigania uhuru barani Afrika wakati huo akiwa ni gavana wa BoT katika serikali ya Nyerere.
Mzee Ruherr anasema Membe ni mwanadiplomasia aliyefanya kwa kiasi chake katika siasa za kimataifa lakini kuna wengine waliofanya makubwa ZAIDI kuhakikisha bara la Afrika linakuwa huru na kujitawala.

Mzee Ruhere ameonyesha picha ya baadhi ya watanzania wakiwa na Rais Putin wa Russia, Samora rip wa Msumbiji, Rais Mwanangagwa wa Zimbabwe na wapigania uhuru wengine wakiwa katika kijiji cha Kaole kule Bagamoyo wakati wa mafunzo.
Source Clouds 360!

My take:
Kumbe ufisadi wa chadema umeasisiwa na hawa vijana waliopo sasa, Waxee wao kina Mtei walikuwa wazalendo pamoja na kutofautiana mitazamo na mwalimu katika baadhi ya mambo.
Kwahiyo Magu amefanya makubwa sana katika harakati za africa ndo akawa rais? Tuanzie hapo.
 
Kwa hiyo unashauri na membe nae aanze kuweka pesa za wapigania haki wa afrika ili ikuwe amefanya harakati za kutosha afrika? Maana sijaoja lengo au maudhui ya post hii.
Kwa hiyo unashauri na membe nae aanze kuweka pesa za wapigania haki wa afrika ili ikuwe amefanya harakati za kutosha afrika? Maana sijaoja lengo au maudhui ya post hii.
Hii ni kwa wabobezi wa siasa tu!
 
Back
Top Bottom