Sijashawishika bado!Jamani,hebu tuwe na subira,tuone baada ya siku 7 alizotoa itakuwaje!
Hivi ninyi,mnayajua matatizo au mnayasikia?
Hebu tuweni na utu jamani,si rahisi Ruhazwe JR kuja hapa na kuwaambia tatizo langu ni a,b,c;matatizo mengine hayasemeki!!
cc Erickb52 Chilli Chimbuvu charminglady Baba V(MODS wakulaze pema sevani) noahism twins's mum Mamndenyi Madame B and others.
Hata figganigga kasema alijitahidi several times kumtafuta hata kwa simu lakini zilikuwa hazipokelewi and sometimes zinazimwa, ndo maana kwenye post ya jana nikasema tuache utanzania wa kuambiwa Balali kazikwa heaven's gate tunakubali kubali tu
Jamani,hebu tuwe na subira,tuone baada ya siku 7 alizotoa itakuwaje!
Hivi ninyi,mnayajua matatizo au mnayasikia?
Hebu tuweni na utu jamani,si rahisi Ruhazwe JR kuja hapa na kuwaambia tatizo langu ni a,b,c;matatizo mengine hayasemeki!!
cc Erickb52 Chilli Chimbuvu charminglady Baba V(MODS wakulaze pema sevani) noahism twins's mum Mamndenyi Madame B and others.
Dah ni bora wampe life ban ijulikane kuliko kila siku ban ban ban!
Acha hizo wewe, kila mtu anayajua matatizo na tulipopata taarifa za matatizo ya mwenzetu sote tulimwombea yapite, sasa inapofikia hatua mtu anaingia humu jamvini kimya kimya na kutoka na anajua amewaacha watu katika sintofahamu inatu prompt kuuliza maswali, mbona jana baada ya thread ya Slave ameibuka na kutoa kauli, ilitosha tu kutupa taarifa kuliko kuliko kutuacha gizani
swadakta ndelejha
Dah ni bora wampe life ban ijulikane kuliko kila siku ban ban ban!
Sijashawishika bado!
Dah ni bora wampe life ban ijulikane kuliko kila siku ban ban ban!
Dah,kule siasani kuna watu wanakera sana!
Hivi nataka nitumie ka Id kangu kengine nikamlipue Juliana Shonza aliyetutukania viongozi wetu wa CHADEMA.
RIS Baba V,umetangulia nami ninafuata soon!
Duh kwa mwaka huu nahisi anaongoza kwa banDah,kule siasani kuna watu wanakera sana!
Hivi nataka nitumie ka Id kangu kengine nikamlipue Juliana Shonza aliyetutukania viongozi wetu wa CHADEMA.
RIS Baba V,umetangulia nami ninafuata soon!
Dah,kule siasani kuna watu wanakera sana!
Hivi nataka nitumie ka Id kangu kengine nikamlipue Juliana Shonza aliyetutukania viongozi wetu wa CHADEMA.
RIS Baba V,umetangulia nami ninafuata soon!
Hahahahaaaa kweli aisee we endelea tu kujiapisha maana huyu nae naona ni mgomvi sana lolsi uona eeeh shem wangu, namalizia kuandaa sherehe za kujiapisha si utakuja? tutaongozwaje na mtu mhalifu wakati miie cv yangu imenyooka kama ya mama.....hii nikisema itakuwa tafran humu, but shem unakaribishwa sana na marafiki zako wote ndani na nje ya cc.
si uona eeeh shem wangu, namalizia kuandaa sherehe za kujiapisha si utakuja? tutaongozwaje na mtu mhalifu wakati miie cv yangu imenyooka kama ya mama.....hii nikisema itakuwa tafran humu, but shem unakaribishwa sana na marafiki zako wote ndani na nje ya cc.
ummu kulthum Allahumma azhibil baasa rabban naasi ishfihi wa antash shaafii, laa shifaa-a-illaa shifaa-uka, shifaa-ul laa yughaadiru saqmaa.
[/QUOT]
AMIIIN!Jazkalaahu kheri,kumbe na wewe umeenda chuo acha bwana,mie namkumbuka ustaadhi issa nasoro wakati huu ana fundisha madrasat li kaadria san majengo singinda eeeeh bana wee alikuwa anachapa kwa kutumia fimbo za mrumba utake usitake utajua na ukitoka umehifadhi sura zaidi ya moja.