Inakuwa ngumu sana kwa watu wa Kagera na Kaskazini watu kuwaelewa kuhusu ufisadi.
Kwahiyo tatizo ni kutokujenga Kagera????
Kwani lazima wao Wajenge???.. Kama wao wameshindwa jenga wewe..
wewe nawe una lako jambo. Kwenye scandal hii.... werema, muhongo na maswi nao wanatoka mkoa mmoja, je nao tunawaweka wapi? Maana bila wao hao wahaya wasingepata pesa hizi. Na walio wengi wamegawiwa tu.... kugeneralize kwa kusema wahaya wote ni wezi ni makosa......Wahaya ni wezi sana. Tanzania nzima hamna anayaewapata kwa wizi wa mali za umma
Kwani wakiwekeza dar tatizo liko wapi ama dar si Tz? uko poor minded sana na haujuhi unachokisema kuhusu kuwekeza,jiulize waliosoma shule za St.Mathew,Tusiime,Anne Marie,Marys na wale wa chuo cha Kairuki na hospitali yake wanavyoshukuru taasisi hizo na mchango wao katika Taifa.Wewe ulitaka vyote viende Kagera kwani dar sio watanzania? kwani kwenye hizi taasisi wahaya hawapati huduma ama mpaka wazipate huko kwao? fanya kazi na wewe ukawekeze vya kwako siyo kila kitu mnakalia kuja na hoja za kipuuzi kama hizo Kagera kama kwingine watanzania wote wanaruhusiwa kuwekeza ilimradi mtu kapenda,ukianza eti kila kabila wakawekeze kwao kuna maeneo mengine hawana uwezo na hayo si maendeleo bali ni ukabila
Wahaya mlianza zamani, kibaya sasa ni kwamba mmewaingiza mkengeni watani zenu toka Kanda Maalumu.Confirmed: Jana ilikuwa niandika thread ya namna hii nikashindwa ila nafurahi kuona kuwa mmeliona hili. Nilikuwa nimekaa na mchagga............akaropoka mbele ya wateja baa kuwa kwa sasa WAHAYA wezi kuliko WACHAGGA...............eti wachaga wanaiba fedha ndogo ila wao wanapiga Billions................kazi kunadika plate number zenye majina kwenye magari yao. Huku wasilite hela za wizi kutuletea laana........walete walizopiga kihalali.
Confirmed: Jana ilikuwa niandika thread ya namna hii nikashindwa ila nafurahi kuona kuwa mmeliona hili. Nilikuwa nimekaa na mchagga............akaropoka mbele ya wateja baa kuwa kwa sasa WAHAYA wezi kuliko WACHAGGA...............eti wachaga wanaiba fedha ndogo ila wao wanapiga Billions................kazi kunadika plate number zenye majina kwenye magari yao. Huku wasilite hela za wizi kutuletea laana........walete walizopiga kihalali.
thread ina shibe japo wasio gt huenda wakaiona ni upuuzi!
Ta Muganyizi, With due respect your observation has made me low. Did not expect a man your caliber to meet trouble half way. There's a been a silent move phobia and stereotype against some tribes of Bahaya and Wachagga have been highly victimized. Do not succumb to such phobia. Katika hili la ESCROW tusubiri both CAG and PCCB resports ziwekwe wazi na hapo ndipo tutaambiwa VIP maana sitaki personalize hii issue as the former is living personality legally kwa kuuza 30% of his and paying to TRA legal taxes bado anastahili kuitwa mwizi. Tutapenda wabunge watuambie through both reports and in their wisdom due process was in place and followed to the letter. Na hapo ndio tutajua aliyeuza 30% kweupe na aliyenunua 70% za Mechmar kwa Tsh.6m, ni nani amesababisha hasara kwa Taifa. Tuwe na subira kabla ya kuwapa watu majina mabaya. Ukisikia mtu kama rafiki yako Mchaga anasema hivyo ujue anafikiri two wrongs make right. Wachaga kama ni wezi maana na hilo siwezi kulitolea conclusion basi hawawezi kutakasika kwa wizi wa Wahaya uwe wa kweli au wa kupikwa kama ilivyo kwa wizi wa wengine hauwezi kuwa confession stage ya wengine