Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Unachonishambulia sikioni. Mkoa wa Kagera ulikuwa kwenye top three ya taifa hili kwa maendeleo, leo tuko namba 19! Hawa mafisadi hawakumbuki kuwekeza nyumbani. Huko nyuma siyo kwamba mkoa ulipendelewa bali wale wazee walipenda kwao, waliwekeza, walijenga nyumbani.
Kwani ile shule ya wasichana pale manispaa si ya Tibaijuka ama ulitaka mpaka anunue meli,na kwanini usimuulize anapanga nini baadae kuhusu kuwekeza zaidi siyo unaongea usiyoyajua as if unampangia, huyo Rugema mbona tayari ameshaweka mezani mipango yake ya kuwekeza hapo mkoani ama haufatilii? hicho kiwanda cha bia na hospitali ya kansa si amesema viko tayari kujengwa ama ulitaka iwe overnight? si juzi walikuwa na mikutano juu ya kuwekeza Kagera tena mkutano ulikuwa chini ya Ruge ama hukuona? ndo maana nasema msiwe wepesi wa kuongea kabla na kama ukiona wanachelewa kawekeze na wewe bado hujachelewa ..maneno hayajengi zaidi ya mikakati na kupiga kazi,acha majungu,mbona akina chenge wameficha ulaya huwasemi?