Rugemarila, Tibaijuka, Mujulizi, Ruhangisa, Rwabukoba ni kashfa nyingine kwa mkoa wa Kagera!

Siyo kweli, Mkoa wa Kagera hauna historia ya ufisadi. Isipokuwa udhaifu wa serikali za awamu hizi umefanya kuchungulia hili shamba la bibi. Ingawa hii kashfa ya sasa ni sawa hata kuiita Kagera scandal.
Scandal ya escrow kwa makusudi kabisa imetambulishwa na wale waliopokea pesa kutoka kwa Rugemalira. Hiyo ilikuwa ni sehemu ndogo ya pesa iliyochotwa. Wale waliobeba viroba vya pesa kutoka Stanbic hawakutajwa na wanaishi kwa amani. Pesa aliyopata Rugemalira ni halali kutokana na hisa zake katika ITPL. Ndiyo maana mpaka Leo hajashitakiwa. Alivyotawanya zile pesa ni utashi wake kwa Mali yake. Kama kuhoji hojini zile za Stanbic ndiyo pesa chafu. Inafaa kupata elimu ya makampuni na pesa kabla ya kurusha shutuma. Kama unaona aibu kutoka Kagera kwa sababu ya Escrow hustahili kuwa MKagera.
 
wahaya wanazidi kunipa sababu za kulihama kabila lao..hawa jamaa wanachefua..
Ulikaribishwa na nani? La kwako lina ukakasi gani mpaka uombe uraia kwa Wahaya? Kama katika makabila tote ulichagua hilo bila Shaka ulivutiwa au ulinogewa na kitu.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom