Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

Kwahiyo wanarudi kitaa kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa... mpaka 2018.

Akili kichwani mwako.
 
Mbona hakuna majina? Huyu jamaa bhana kwanza nitaenda kumfungulia mashtaka ya kudanganya Umma kuwa aliwahaaidi Watanzania angewataja wezi wa escro na hakufanya hivyo...

Tunataka kuskia majina kama Anna Tibaijuka etc... huo ni mfano tu, sasa kuja na ngonjera kama hizo huo ni uzuzu,
mkuu jambazi signature yako imenichekesha sana,sijui uliwaza nini hahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama hili ni kweli na likadhibitika kuwa ni kweli, Rais Makufuli atakuwa Rais wa Kwanza Baada ya NYERERE kwa uzalendo na kuipenda Inchi yake.
Mungu amubariki na kumjalia anfya njema ili wazungu wasiendelee KUTUWEKA KATIKA kundi la Viinchi vya Kiafrika ambavyo ni CORRUPT.
 
Mambo kama hay ndo yanaturudisha nyuma watanzania. Woga usio na maana. Ruge has nothing to loose,umeshafungwa mda woote huo. Halafu bado unapata kugugumizi kutaja majina hadharani?

Mkuu hapa Tz mambo ni ki-film tu. Hiyo episode ya kwanza imeishia hapo. Tusibir episode ya 2.
 
apo ni movie inatengenezwa amna lolote. wanajizungusha tu akati baadhi ya wahusik walijitaj teari wakasema walichukua kidogo tu hao ndio waltakiwa kua rumande sasaiv waisaidie mahakama kuwakamat wahusika wakuu
 
Rugemalira ameishawasilisha orodha ya wote waliohusika na ambao kisingi ndio wanapaswa kushitakiwa badala yake. Hivyo tunaomba wahusika wakamatwe badala ya kumtoa kafara asiyehusika!
 
Back
Top Bottom