Hakimu kesi ya boss wa Zamani wa Bandari acharuka, ataka upande wa mashtaka kukamilisha Upelelezi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema upande wa mashtaka wasipokamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TRA), Madeni Kipande na wenzake atawarudisha polisi au Takukuru.

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema upande wa mashtaka wasipokamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake atawarudisha polisi au Takukuru.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh4.2 bilioni.

Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Mosie Kaima kuieleza mahakana hiyo kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilka

Ndipo Hakimu Mkazi Mkuu, Ramadhani Rugemalira alisema shauri hilo kama halijakamilika tarehe ijayo washtakiwa hao atawarudisha polisi au Takukuru

"Upande wa mashtaka mwende mkaamue cha kufanya tarehe ijayo kama shauri hili halijakamilika washtakiwa nitawarudisha Polisi au Takukuru,"alisema Rugemarila.

Hakimu Rugemalira aliahirisha shauri hilo hadi June 15, 2023 litakapokuja kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa hao wapo nje kwa dhamana.

Mbali na Kipande washtakiwa wengine wengine ni Peter Gawile (58) Ofisa Rasilimali Watu wa TPA, Casmily Lujegi (65) Mwenyekiti wa Bodi ya Manunuzi wa TPA, Mashaka Kisanta (59) Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi na Kilian Chale (51) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Mkazi wa Mbezi Makabe.

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, washtakiwa katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022 wanadaiwa kati ya Oktoba Mosi, 2014 na Oktoba Mosi 2020 Dar es Salaam, walikula njama ya kutenda kosa la kuisababishia TPA hasara.

Shtaka la pili, kati ya Januari Mosi, 2015 hadi Februari 17, 2015 washitakiwa kwa pamoja wakiwa maofisa wa TPA, walitumia madaraka yao vibaya kwa kutangaza zabuni namba AE/016/2014-15/CTB/G/39 kwa nia ya kujipatia dola za Marekani 1,857,908.04 .

Shtaka la tatu, inadaiwa kati ya Oktoba Mosi 2014 na Oktoba Mosi, 2020 maeneo ya TPA na maeneo mengine ya Dar es Salaam, washtakiwa kwa makusudi walitangaza zabuni ya Enterprises Planning Resources (ERP) bila kupata kibali cha Bodi ya Zabuni ya mamlaka hiyo na kushindwa kufuata kanuni za zabuni hivyo kutoa malipo ya awali ya asilimia 40 bila idhini ya bodi hiyo, jambo lililosababisha TPA hasara ya Dola za Marekani 1.8milioni ambazo ni sawa na Sh4.2bilioni.

Chanzo: Mwananchi
 
Kumbe kesi za kuhujumu uchumi siku hizi zina dhamana!? Sikujua hilo!?
 
Uhujumu uchumi una dhamana...ila utakatishaji hauna dhamana....Wengi haya makosa yanaendaga sambamba ndo maana mtu anakosa dhamana...mtu anapigwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema upande wa mashtaka wasipokamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TRA), Madeni Kipande na wenzake atawarudisha polisi au Takukuru.

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema upande wa mashtaka wasipokamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake atawarudisha polisi au Takukuru.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh4.2 bilioni.

Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali, Mosie Kaima kuieleza mahakana hiyo kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilka

Ndipo Hakimu Mkazi Mkuu, Ramadhani Rugemalira alisema shauri hilo kama halijakamilika tarehe ijayo washtakiwa hao atawarudisha polisi au Takukuru

"Upande wa mashtaka mwende mkaamue cha kufanya tarehe ijayo kama shauri hili halijakamilika washtakiwa nitawarudisha Polisi au Takukuru,"alisema Rugemarila.

Hakimu Rugemalira aliahirisha shauri hilo hadi June 15, 2023 litakapokuja kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa hao wapo nje kwa dhamana.

Mbali na Kipande washtakiwa wengine wengine ni Peter Gawile (58) Ofisa Rasilimali Watu wa TPA, Casmily Lujegi (65) Mwenyekiti wa Bodi ya Manunuzi wa TPA, Mashaka Kisanta (59) Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi na Kilian Chale (51) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Mkazi wa Mbezi Makabe.

Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, washtakiwa katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022 wanadaiwa kati ya Oktoba Mosi, 2014 na Oktoba Mosi 2020 Dar es Salaam, walikula njama ya kutenda kosa la kuisababishia TPA hasara.

Shtaka la pili, kati ya Januari Mosi, 2015 hadi Februari 17, 2015 washitakiwa kwa pamoja wakiwa maofisa wa TPA, walitumia madaraka yao vibaya kwa kutangaza zabuni namba AE/016/2014-15/CTB/G/39 kwa nia ya kujipatia dola za Marekani 1,857,908.04 .

Shtaka la tatu, inadaiwa kati ya Oktoba Mosi 2014 na Oktoba Mosi, 2020 maeneo ya TPA na maeneo mengine ya Dar es Salaam, washtakiwa kwa makusudi walitangaza zabuni ya Enterprises Planning Resources (ERP) bila kupata kibali cha Bodi ya Zabuni ya mamlaka hiyo na kushindwa kufuata kanuni za zabuni hivyo kutoa malipo ya awali ya asilimia 40 bila idhini ya bodi hiyo, jambo lililosababisha TPA hasara ya Dola za Marekani 1.8milioni ambazo ni sawa na Sh4.2bilioni.

Chanzo: Mwananchi
Kwa hiyo sisi tufanyeje sasa?
 
Back
Top Bottom