Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

Mwizi wa escrow ni Lowasa!


Angalia maneno yako bro Cjui c***...lowasa mwizi vp wengine Wanao penda ukawa Watakupasua kwa maneno

Alikua Waziri mkuu tu tena alijiuzulu tu... Kwa amani sasa Angalia wengine tushapagawa long time ago... Sasa shobokaaa tuu
 
waandishi wa habari wengine inabidi warudi shule kichwa cha habari kinasema ameteja majina,kutafuta majina hayapo
 
Hao anaowadai ndo walimtuma kutapeli Serikali? Yeye angesema ukweli tu, angalau asingizie shetani
 
Mambo kama hay ndo yanaturudisha nyuma watanzania. Woga usio na maana. Ruge has nothing to loose,umeshafungwa mda woote huo. Halafu bado unapata kugugumizi kutaja majina hadharani?
Ni maswala ya kisheria huwezi wataja watu bila uthibitisho Hao aliowataja anauthibitisho yeye sio bashite
 
Mmmmh!! This guy still fools us!!! Tunajua kuwa standard Chartered wana makosa yako. Kwani hata la kuwagawia mapesa wakina 10 b ni za mboga pia ni standard Chartered!!! Ruhusa ya kutoa hayo Mahela wakati kesi ya msingi ilikuwa bado kuisha pia ilifanywa na standard chartered?
 
Mbona hakuna majina? Huyu jamaa bhana kwanza nitaenda kumfungulia mashtaka ya kudanganya Umma kuwa aliwahaaidi Watanzania angewataja wezi wa escro na hakufanya hivyo...

Tunataka kuskia majina kama Anna Tibaijuka etc... huo ni mfano tu, sasa kuja na ngonjera kama hizo huo ni uzuzu,

Anna kamuibia nani tumia akili utaelewa
 
Ruge anadai Tril 16??
Unashangaa nini? Capacity charge ya mtambo wa IPTL tumekuwa tukilia TSh 5 billion kila siku iendayo kwa Mungu. Piga hesabu kwa miaka 20 ambayo tumekuwa tukiilipa hiyo kampuni kama capacity charge, yaani mitambo kuwepo tu pale Ubungo (iwe mizima au mibovu). Ikiwashwa tunailipia TSh 1 billion kwa saa na mafuta (dizeli) yake ya kuwashia tunaweka wenyewe kwa gharama zetu pamoja na gharama za matengenezo na service ya hiyo mitambo!!! Pesa tulizotumia kukodi huo mtambo wa Megawatts 100 zingetosha kujenga Stigler's gauge hydroelectric power plants 100 kila moja ikiwa na uwezo wa Megawatts 2,100!!! Mwache mzee Rugemalila (baada ya kibano) atililike jinsi ambavyo tumepigwa matrillion ya pesa katika utapeli huo wa IPTL ukihusisha mabenki hayo ya nje.
 
Wengi wataingia ...niamini..huo ni mwanzo tuu..anajua kwa kufanya hivyo watalegeza Uzi asije wataja..hongera
 
Hapa ndipo nachanganyikiwa ninapotaka kumkosoa JPM. Kwa kweli JPM ameiokoa nchi hii. Haya yasingewezekana kamwe angekuja rais yeyote mwingine. Alas! Lau asingefanya madudu mengine ya kijinga ya kidikteta-dikteta hivi.....ningemwunga mkono 200%
 
Back
Top Bottom