Ruge vs Mengi

Ruge vs Mengi

Status
Not open for further replies.
Mashindano mengine hayafai. Tafadhali omboleza, acha kushindanisha wafu. Ni kukosa staha.
Saivi tunavyoomboleza kuondokewa na mdau mkubwa katika tasnia ya habari.
Leo nataka kuangalia nani ataenziwa na watanzania pamoja na vionhongozi wetu katika mchango kwa jamii.

Ruge alienziwa sana kwa kusaidia wasanii na vijana mbalimbali na Mengi pia amekua msaada mkubwa sana katika jamii ya watanzania kwa makundi mablimbali kuanzia vijana, walemavu, wasiojiweza na Makundi mengine.

Leo sio kwamba nashindanisha hawa watu wawili HASHA! bali nataka kuona muitikio wa jamii katika msiba wa mzee wetu mpendwa na mfanyabiadhara. Mshangiaji mkubwa wa uchumi wetu kwa uwekezaji.

Nawasilisha!
 
probably they wont promote him that much
Kwani clouds walii promotes vipi labda??? Si kuweka matangazo tu kwenye TV na radio?? kitu ambacho hata EATV na ITV watafanya lazimaa pia Clouds watafanya...

Ruge aligusa Maisha ya Vijana wengi sanaaa... Kuanzia ajira mpaka Uburudishajii so kimsingi Ruge msiba wake lazima ungekuwa mkubwaa
 
Nafikiri si sahihi kuweka mjadala wa namna hii katika wakati huu pia sio sawa kumfananisha Dr Mengi na Ruge...

Ruge amakuwa ndani ya clouds media group kama muajiriwa akiendesha michongo yake yote

Dr Mengi ni zaidi ya clouds media group pamoja na partner wao wote..clouds wamufuata nyayo za mzee kupitia media zake...

Call a spade a spade
 
Ile bongo star search si ilisaidia vijana au?
Ushawahi Muonaa mengi ameenda kuhamasisha vijana Bonge star search??? inawezekana Hata hao washiriki wengine walikuwa hawajui kama Bongo star search kuna mkono wa Mengi.. wanamjua madam rita
 
Nafikiri si sahihi kuweka mjadala wa namna hii katika wakati huu pia sio sawa kumfananisha Dr Mengi na Ruge...

Ruge amakuwa ndani ya clouds media group kama muajiriwa akiendesha michongo yake yote

Dr Mengi ni zaidi ya clouds media group pamoja na partner wao wote..clouds wamufuata nyayo za mzee kupitia media zake...

Call a spade a spade
Binadamu ndo tulivyo ndugu
 
Kwani clouds walii promotes vipi labda??? Si kuweka matangazo tu kwenye TV na radio?? kitu ambacho hata EATV na ITV watafanya lazimaa pia Clouds watafanya...

Ruge aligusa Maisha ya Vijana wengi sanaaa... Kuanzia ajira mpaka Uburudishajii so kimsingi Ruge msiba wake lazima ungekuwa mkubwaa
unakwama wapi mzee baba kwani vipindi vingapi vya IPP vitasimama??
clouds almost everthing stoped isipokua matangazo ya biashara tu!!

na kama kugusa maisha ya vijana EATV kupitia BSS walinyanyua vijana wengi tu HAWAVUMI, Sanaa zetu just to mention few
 
nchi gani ilitetemekaa
Nadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom