Ruge vs Mengi

Ruge vs Mengi

Status
Not open for further replies.
Wewe unalinganishwa kwa Utajiri na uwezo ndo maana...!! Mengi alitoa msaada wa pesa zaidi... Ruge alitoa msaada wa Ideas...pesa na kuwezesha vipaji vya wengi ambavyo viliwainuaa mpaka leo wana maisha yao...!! Ruge alitoa watu from zero to heroo... He was someone special... Wewe idiot ukalale tuu
Hivi unajua Mengi kasaidia watu wangapi? Kama pesa anazo unataka asaidie nini sio Kila mtu anahitaji msaada wa ideas.Kuna watu ni watoto yatima wanahitaji msaada wa kusomeshwa mpaka chuo kikuu na Mengi kawasaidia wengi tu,hawa hata ukiwapa idea hautasaidia lolote.

Mengi katoa ajira kwa mamia ya watanzania, hata ideas katoa Sana labda Kama ulikuwa humfatilii.Ruge was good in search but Mengi was the best usichanganywe na porojo za fursa.
 
Ruge bwana atabaki kua juu sio kwamba alikua na pesa nyingi ra hasha.. ata top 50 za tz hakuwepo...

Ila alisaidia sanaa ku change mawazo ya vijana wengi haswa tasnia za sanaa mbali mbali na watangazaji... Hivyo maneno yake yanaishi mioyoni mwao...

Mengi naye anamchango mkubwa sanaa na alikua anaweza kujitoa kwa pesa zake kwa walemavu na kuwafanyia sherehe kila mwaka

Mwenye Mungu awaweke mahali wanapo stahili
La hasha....sio ra hasha mkuu Mtapenda
 
Hivi unajua Mengi kasaidia watu wangapi? Kama pesa anazo unataka asaidie nini sio Kila mtu anahitaji msaada wa ideas.Kuna watu ni watoto yatima wanahitaji msaada wa kusomeshwa mpaka chuo kikuu na Mengi kawasaidia wengi tu,hawa hata ukiwapa idea hautasaidia lolote.

Mengi katoa ajira kwa mamia ya watanzania, hata ideas katoa Sana labda Kama ulikuwa humfatilii.Ruge was good in search but Mengi was the best usichanganywe na porojo za fursa.
Nadhani wewe ndo hunielewiii...!! Sema anyway wapumzike kwa amani... wote waliitenda kazi vyemaa...
 
Binadamu wa kitanzania ni tofauti sana na mataifa mengine mind zs watz zimelala mno tena fofofoooo sijui huwa wanawaza nini???
 
Msiba wa Ruge ulitikisa zaidi kwa kuwa yule alikuwa bado ni kijana sana, wa mzee mengi unaeza usiufikie ule kwa kuwa alikuwa kashakula chumvi nyingi zaidi. Ila kwa suala la mchango kwenye jamii Mengi mchango wake ni mkubwa sana ukilinganisha na Ruge.
 
SIO KIJANA BHANA!!!!!
WALIFANYA MARKETING KUUUUBWA SAANA MAANA WALISIMAMISHA VIPINDI VYOOOTE KASORO MATANGAZO YA BIASHARA TU.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom