NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Maeneo ya kuzaliwa sio hoja mbele za mungu ila umefanya nini kwenye jamii.ÝESU amezaliwa kwenye hori la ng'ombe lakini ameukomboa ulimwengu bila kutumia silaha.Nyerere amezaliwa Butiama lakini umaarufu wake hauna kifani.Mengi amezaliwa Machame amelala na mbuzi lakini ni maarufu.Ruge amezaliwa Broklyn naye ameleta makubwa.Hapana tuangalie maeneo waliyo zaliwa
Kuna watu wanadhani kuzaliwa nje ya nchi sio kijijini kwao ni sifa tunawajua hawa wapenda sifa.
Ni sawa na watu wawili waligongwa na gari mmoja anatamba amegongwa na gari la raisi anamcheka aliyegongwa na mkokoteni ila wote majeruhi wako ward moja

