rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,854
Mengi Ana ITV...EATV.. ebu tusubiri tuonee!!alikuzwa na media sio kama alikua na hadhi hio (no offence)
Mengi Ana ITV...EATV.. ebu tusubiri tuonee!!alikuzwa na media sio kama alikua na hadhi hio (no offence)
kweli mkuu ila walikua na influence kubwa katika jamii sasa nataka kuona muitikio wa jamii kwa huyu mzee maana anajulikana sana na kafanta mengi sana kwa jamiiRuge ni ruge na mengi ni mengi...kila mmoja efanya kwa nafasi yake kwenye hii dunia
probably they wont promote him that muchMengi Ana ITV...EATV.. ebu tusubiri tuonee!!
meaning??Shule....Shule...Elimu. Unawezaje kufananisha hawa watu wawili....hakuna variables za kuendana hapo.
hawesemi kwakweli. ntugamba Infwact!kwa kweli
Mengi ni zaidi ya Ruge kwa kila eneo. Mengi alikuwa Tajiri ziadi, alikuwa anatoa misaada Zaidi, ametoa ajira Zaidi na ameishi miaka mingi na pia alikua anaoa kihalali
ETI ANAOA KIHALALI 🙄🙄 Jamaa mwingine hakuoa kabisa hata KINYEMELAMengi ni zaidi ya Ruge kwa kila eneo. Mengi alikuwa Tajiri ziadi, alikuwa anatoa misaada Zaidi, ametoa ajira Zaidi na ameishi miaka mingi na pia alikua anaoa kihalali
TUONE WALE WASERIKALINI WANAOTAKA PROMO WATAUKUZA MSIBA HUU AU WATASOMA UPEPOHuyo Ruge alikuzwa tu na watu Lakini kiuhalisia hajamfikia Mengi kwa lolote
Umeona eeheETI ANAOA KIHALALI 🙄🙄 Jamaa mwingine hakuoa kabisa hata KINYEMELA
Ndoa ni ndoa tu iwe ya kidini, ya nje ya nchi, ya kimila, ya kiserikali n.k ni ndoa tu na mke anakuwa halaliAcha mahaba kihalali!!
Alipotengana na MKE wa kwanza hakupaswa kuoa Tena kwa mujibu wa Dini Yake.
Badala Yake alifunga ndoa nyingine nje ya Nchi na mjukuu.
Hivyo hiyo ndoa kwa Dini siyo halali
TUSUBIRI JAMII ITAKAVYO REACTKwangu Mimi Mengi zaidi
WAGOGO TUNitajie makabila matano ya tz yenye asili ya hapahapa Tz
Mkuu endelea kusubiri taaarifa ya POSTMORTEMChanzo Cha kifo chake NI kipi?
Naona hawajaeleza. Au nacho NI Siri sirini?