Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,486
- 2,634
....we boya tu!,hata kuandika hujui!..ukipigwa barida tu!Kama hujui Ruge anaitwa Rais wa Bongo flaver, unajua kwa nini? back days Ruge akiamua utoke unatoka na akiamua kukuzima usisikikie alifanya hivyo,, nipo kwenye indurstry hiyo najua nnachozungumzza!
Nakupatia picha cjui utakuwa nani weweKama hujui Ruge anaitwa Rais wa Bongo flaver, unajua kwa nini? back days Ruge akiamua utoke unatoka na akiamua kukuzima usisikikie alifanya hivyo,, nipo kwenye indurstry hiyo najua nnachozungumzza!
Kilichomuokoa Sugu ni uheshimiwa..Vinginevyo angezimwaHiyo ya kuiba idea mfano ni ile deal ya malaria ya Sugu, sema alikutana na kichwa kingine Sugu alimkomalia hadi akakubali yaishe na kumlipa hela
Huo uraisi kapewa na nani..Nani anamwita hivyo?Kama hujui Ruge anaitwa Rais wa Bongo flaver, unajua kwa nini? back days Ruge akiamua utoke unatoka na akiamua kukuzima usisikikie alifanya hivyo,, nipo kwenye indurstry hiyo najua nnachozungumzza!
Ni mawazo yako boss!!Ukiona mtu anamwita [HASHTAG]#BossRuge[/HASHTAG] jua huyo ni mfanyakazi wa Clauz
Hizi ni imani na ukiendelea kuiamini hivyo utaendelea kubaki hivyo hivyo!! Yy Ruge ndiyo anaebana kupigwa kwa nyimbo za wasanii vituo vingine?Kama hujui Ruge anaitwa Rais wa Bongo flaver, unajua kwa nini? back days Ruge akiamua utoke unatoka na akiamua kukuzima usisikikie alifanya hivyo,, nipo kwenye indurstry hiyo najua nnachozungumzza!
Hahah!! Swali zuri sana!Huo uraisi kapewa na nani..Nani anamwita hivyo?
Fact umeongea!! Utakuta mtu Ana idea ya mamilion ya hela halafu hana mtaji wa kuanzia kwanini usiwaachie wenye hela wakamilishe hiyo project na kuongeza ajira?? Wabongo tatizo ni kuona wivu kwa maendeleo kwa mtu anaezidi kutusua kila siku!!Hivi hadi unaibiwa Idea wewe ulikuwa wafanya nini?
Ukiwa na idea na huna pesa wape wenye pesa waitembeze mbele ili ajira zipatikane,
Mi sio bossNi mawazo yako boss!!
Fact umeongea!! Utakuta mtu Ana idea ya mamilion ya hela halafu hana mtaji wa kuanzia kwanini usiwaachie wenye hela wakamilishe hiyo project na kuongeza ajira?? Wabongo tatizo ni kuona wivu kwa maendeleo kwa mtu anaezidi kutusua kila siku!!
wewe tetea ugali wako hapa usipofanya hivi huliTokaaaaaa!! Nafikiri nipo na mtu kumbe nipo na kichwa kilicho jaa streesss za maisha!! Ukini quote sijibu tena!!! Darasa lipi ulilo toa???
AiseeeeeRuge is more than exploiter...nchi kama china watu kama hawa wana uwawa!
He was the source ya kuiua East Coast,Kuwapoteza Gangwe Mob!...wenginw wanauliza idea inaibiwaje(poor minds) hamjawahi kuwa hata na mawazo ndio maana mnashindwa kuelewa inaibiwaje...Fiest wasanii wanaambiwa imba tutakupa promo..whats that shit!!Alimzunguka sugu na mradi wa maralia..nahii inahitaji shule kuijua...kamgandamiza na kumpoteza jayde..ikiwa bado alimgonga enzi za smooth vibe na mwanzo wa clouds..katafuta na kuwa cheua wafanyakazi kibao...where is mousud..unajuakuwa alifukuzwa for just one single letter!
Na soon ndio anapotea kwenye gemu..anajifanya eti entrepreneur and inspiration spiker..whats the shit kaona hiyo ndio fursa wakati ni mnyonyaji..wasio mjua ndio watakaa kumtetea hapa!
Mkuu hata kama mtu haumpendi kuongea uongo haisaidii..show zote zinazoandaliwa na CLOUDS MEDIA including FIESTA hakuna msanii yeyote ANAELIPWA ZAIDI YA LAKI 2! na ukigoma unaminyiwa nyimbo zako zisipewe airtime! chezea ruge weye!
uwiii!!! wamekutana, bibi mrembo bwana handsome mashalah!!
show zote zinazoandaliwa na CLOUDS MEDIA including FIESTA hakuna msanii yeyote ANAELIPWA ZAIDI YA LAKI 2! na ukigoma unaminyiwa nyimbo zako zisipewe airtime! chezea ruge weye!