Ruge ni mnyonyaji au mponyaji?

Hiyo ya kuiba idea mfano ni ile deal ya malaria ya Sugu, sema alikutana na kichwa kingine Sugu alimkomalia hadi akakubali yaishe na kumlipa hela
 
Unauliza maswali tu,tupe majibu
 
Huyu Ruge Mimi sioni tatizo lake na wala sitengemei kuja kuona tatizo lake!! Tatizo moja LA wabongo ni wivu wa maendeleo ya watu waliofanikiwa basiii!! Watu wanataka awalipe wafanyakazi wake kima cha chini cha mshahara Million kumi hata kampuni apple hailipi wafanyakazi wake huo mshahara watu mnaotaka nyie!!! Kama mnaona anawanyonya fungueni station zenu!!!
 
Inamaana kwani wanalazimishwa kwenda kufanya show?? Inaamaa kabla ya kufanya show si kuna makubaliano kati ya msanii na Boss Ruge I mean kabla ya show msanii anakuwa na mkataba unasemaje?? wabongo tuacheni chuki

Unapokataa kupiga show za fiesta nyimbo zako hawazichezi hivyo fursa ya ww kupata show nyingine inakua ndogo kutokana show nyingi zinapitia mikono yao
 
inabidi unilipe kwa kukupa darasa maana umeshanielewa ila sasa unataka kuleta ligi.
aliyekwambia mimi naimba nani ?
aliyekwambia mimi nina stress nani ?
Tokaaaaaa!! Nafikiri nipo na mtu kumbe nipo na kichwa kilicho jaa streesss za maisha!! Ukini quote sijibu tena!!! Darasa lipi ulilo toa???
 
Inamaana kwani wanalazimishwa kwenda kufanya show?? Inaamaa kabla ya kufanya show si kuna makubaliano kati ya msanii na Boss Ruge I mean kabla ya show msanii anakuwa na mkataba unasemaje?? wabongo tuacheni chuki
Ukiona mtu anamwita [HASHTAG]#BossRuge[/HASHTAG] jua huyo ni mfanyakazi wa Clauz
 
Wew jamaa mbona unakujaa juu sana punguza stress kwanza za maisha!! Kwani kipo kituo kimoja tu cha radio?? Kwani wasipo piga clouds nyimbo yako na station nyingine hawapigi??
Kama hujui Ruge anaitwa Rais wa Bongo flaver, unajua kwa nini? back days Ruge akiamua utoke unatoka na akiamua kukuzima usisikikie alifanya hivyo,, nipo kwenye indurstry hiyo najua nnachozungumzza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…