Mmezamiria kabisaaa kituo cha tv kiombe msamaha????
Mi narudia tena mliotoa kauli hiyo eti waombe msamaha muwaombe wao kwanza msamaha.
Kuwaficha mashoga kunatofauti gani na kumficha mlemavu ndani,
Mimi kipindi ningekipinga kama,,,,,,,,, narudia tena kamaa,,,,,,
Wangemkodi huyo shoga kutoka mataifa mengine na kuja kulizungumzia au kufanya nae interview hapa au kupwea air time nchini
Sasa mtu ametokea humuhumu inchini ambako kuna serikali hairuhusu ushoga hafu mnajaaa povu tuwaeleweje???? Hivi ni kweli kwa kipindi chote hiki mlikua hamjui kama tz ushoga upo mpaka huyo alipokuja kuzungumza kwa tv?? Na mlichukua hatua gani kabla ya zamaradi kuchukua hatua hiyo??
Ieleweke tuu kwamba ruge chombo chako kimefanya yale ambayo yakipasa kufanya, serikali inalitambua tatizo hili lipo na linalua kwa kasi kubwa sana hasa mijini ambapo ofisi nyingi za serikalo zipo lakini hamjalitilia manani wala kulizingatia hata kidogo na kuwaacha vijana wakiathirika na tatizo kama hilo na linalua kwa lasi hamna hatua yoyote kazi kukalia mihemuko ya kisiasa ilihalinajua taifa linateketea
NARUDIA TENA HAKUNA SABABU YA RUGE KUKUBALI KOSA AMBALO NI JUKUMU LAKE KUHAKIKISHA SISI TUNAPATA HABARI, IWE NJEMA AU MBAYA .
Kosa ninaloliona nikufichua maovu yaliyofichwa na serikali kwa kigezo cha maadili, unachukia kumuona kwenye tv lakini unaona raha ukimkuta bar ukiwa unakunywa bia